Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaitwa survival of the fittest.Mpaka sasa?
Madem na pombeWaliowahi kuishi udom vitu gani Vina waarudisha wanafunzi wengi nyuma kitaaluma?
Wesiumeuliza swali na ukataka majibu...🤔POMbe tena? Oooh
Sawa boss, basi endelea kitafuta uhalisia wa chuo wakati upo mtaani.Nilitaka uhalisia pande zote yaani
Unaenda college gani hapo? maana maisha ya udom yanategemea na college uliyopo.AMna natafuta uzoefu tiii humu
Wazee wa kutembea na makoti meupe ok jiandae kutembea kufata practical maana college yenu imejitenga sana.Ety bachelor of science in physics