Vitu gani vinawarudisha wanafunzi wengi nyuma kitaaluma UDOM?

Uzinzi. Yaani ununue mapazia makubwa ya kuficha kitanda chako na ma headphone makubwa ili usisikie yanayojiri kitanda cha mwenzako. Ahsante.
 
Kwa ufaulu wako shida hata kuhamia MD,Pharmacy,nursing hapo Udom ngumu sana bila one kali labda kama unapenda mambo lishe ungejaribu kuhamia chuo kikifunguliwa inaitwa Bachelor of science in Clinical Nutrition and Dietetics.
 
MD na pharmacy ishakat@a mda yan at least nursing
 
Back
Top Bottom