Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

FINANCIAL MARKET

New Member
Joined
Apr 15, 2024
Posts
2
Reaction score
11
[.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha....

1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media
.
Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji?
.
Zaidi ya 90% ni walaji.
.
Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine.
.
Unakutana na mambo mengi ya kukubrain-wash.
.
Unalishwa propaganda na fake news.
.
Unaenjoy huku ukipoteza muda wako.
.
2.Nyeto.
.
Nyeto ni miongoni tabia chafu sana kwa mwanaume.
.
Nyeto inakwangua na kumaliza uanaume wako.
.
Utaathirika kisaikolojia.
.
Utakosa nguvu za kiume.
.
Utashindwa kuhimili tendo.
.
Kukosa kujiamini.
.
Utawagopa mademu.Jikomboe. Kuwa mwanaume.
.
Acha nyeto kwa kuwa busy, jifunze skill mpya, acha kuwa idle. Jitumikishe kwa kuwa positive.
.
3.Porn
.
Picha zautupu zinakufanya uendelee na nyeto.
.
Picha hizi zinakufanya uzitegemee kupata stimu.
.
Utakuwa na urahibu unaosumbua akili yako.
.
Mpaka uone ndo akili ishituke.
.
Porn makes you slave.
.
Jipende.
.
Acha kuangalia picha mbaya.
.
Unfollow watu wote nudes and content chafu.
.
4. Betting
.
Betting ni utumwa.
.
Kulala ukiamini unaweza kuweka jero ikakutajirisha,
.
Ni tabia ya hatari na ya kufedhehesha sana.
.
Utakuwa mvivu.
.
Imagine akili yako inaamini utatajirika kwa bahati nasibu.
.
Inakufanya kushindwa kupambana na kubaki kubet kila siku.
Acha betting.
.
Fanya kazi.
.
Mwanaume anakula kwa jasho.
.
Sio michezo ya kitoto hiyo ya kudhani unaweza kulala maskini na ukaamka tajiri.
.
5.Junk food
.
Chips zinakufanya dhaifu.
.
Mikate inakufanya unaumwa.
.
Kuku wa kisasa watakudhuru.
.
Mabaga, na vingine vya ngano vinakufanya kuwa na mwili dhaifu.
.
Mwili dhaifu ni rahisi kuandamwa na magonjwa.
.
Kula kama mwanaume.
.
Kula nyama na samaki.
.
Kula matunda na mbogamboga.
.
5 .Pombe
.
Pombe imeua ndoto za wengi.
.
Sio mbaya kunywa kwa kiasi.
.
Watu wanakunywa na kujisahau.
.
Wanashindwa kufanya kazi.
.
Wanashindwa kuwekeza na kufanya mambo ya msingi.
.
Punguza na acha kabisa pombe.
.
Wengi imewafanya masikini.
.
6 . Soda na energy drinks
.
Watu wanakuwnywa energy drinks badala ya maji.
.
Boda na watu wa kazi ngumu wanaongoza kwa energy drinks.
.
Sukari inakufanya ule mara kwa mara.
.
Sukari itakufanya uugue magonjwa mengi.
.
Sukari inakufanya ujinenepee na kuota kitambi.
.
Jikomboe.
.
Kataa sukari.
.
Kula matunda halisi.
.
Kunywa maji safi ya kutosha.
.
Jeshi la Mtu mmoja
 
2.Nyeto.
.
Nyeto ni miongoni tabia chafu sana kwa mwanaume.
.
Nyeto inakwangua na kumaliza uanaume wako.
.
Utaathirika kisaikolojia.
.
Utakosa nguvu za kiume.
.
Utashindwa kuhimili tendo.
.
Kukosa kujiamini.
.
Utawagopa mademu.Jikomboe. Kuwa mwanaume.
.
Acha nyeto kwa kuwa busy, jifunze skill mpya, acha kuwa idle. Jitumikishe kwa kuwa positive.
.
3.Porn
.
Picha zautupu zinakufanya uendelee na nyeto.
.
Picha hizi zinakufanya uzitegemee kupata stimu.
.
Utakuwa na urahibu unaosumbua akili yako.
.
Mpaka uone ndo akili ishituke.
.
Porn makes you slave.
.
Jipende.
.
Acha kuangalia picha mbaya.
.
Unfollow watu wote nudes and content chafu

unataka kumtia hasira dronedrake
 
Betting nimeacha, muda kwa social media nmeacha, junk food situmii, nyeto sijawah hata kujaribu...

Ila pombe na energy mniache navyo.
 
Sasa nyeto ndio inaokoa kibunda maana mbususu imepanda bei na ia nyeto inaokoa uhai wetu. Hamna cha gono wala hiv
 
Back
Top Bottom