Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°Watoto wangu.
ππππππππππNdoa zetu...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Utopolo
Uchawa
Hapana Duniani Havikuwepo Google usome Kimoja Kimoja utajionea Mwenyewe. Nimefanya Utafiti Hapo.Hivyo havikuwepo bongo tu ila ulaya vilikuwepo
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kondegang pia haikuwepo
πππππππππππππ... kuna vizazi vinne no vitano vinaishi kwa sasa;
Generations Z na Alpha hayo ni ya kawaida kwao na ndio kundi kubwa linaloishi kwa sasa.
- baby boomers; born before 1961
- generation X; pre 1981
- generation Y; pre 1993
- generation Z; pre 2007
- generation alpha; after from 2007.
πππππππTumblr .. my favourite app
ππππππππππππππPro camerA
Jamii forumWakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.
Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe.
iPhoneπ±
iPad
Android
Alibaba
Apple App Store
Uber
Airbnb
Blockchain
Square
Stripe
Spotify
Dropbox
Snapchat
Kickstarter
Messenger
Quora
Tumblr
BuzzFeed
Hulu
Tinder
Nest
Fitbit
Oculus
Tencent
Kindle
Bitcoin
4G
TikTok
Ongezea Hapo Zaidi......
Ikumbukwe Hivi Vitu Havikuwepo Duniani Sio Tanzania Tuu. Nimefanya Utafiti Wangu.