Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi

Mi nafikiria tu vitakavyofuata baada ya hivi, yaani 10-20 miakas mbele. Itakuwa hatari tupu!
 
Zamani kwenda kutuma email au kuchek email lazima uende City Centre kulikuwa na Internet cafe ya wahindi ...cyber cafe
Hapo unafunguliwa unasomewa email yako
Aise tumetoka mbali

Ova
 
Wakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.

Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe.

Facebook
Twitter
iPhone[emoji336]
iPad
Android
Alibaba
Apple App Store
Uber
Airbnb
Blockchain
Square
Stripe
Spotify
Dropbox
Instagram
Snapchat
WhatsApp
Pinterest
Kickstarter
Messenger
Quora
Tumblr
BuzzFeed
Hulu
Tinder
Nest
Fitbit
Oculus
Tencent
Kindle
Bitcoin
4G
TikTok

Ongezea Hapo Zaidi......

Ikumbukwe Hivi Vitu Havikuwepo Duniani Sio Tanzania Tuu. Nimefanya Utafiti Wangu.
Ila mambo yalikuwa yanaenda

Ova
 
Ila mambo yalikuwa yanaenda

Ova

Hahaha, afadhali ya wewe angalau ulikuwa na mtu wa kutumiana naye e-mail Mkuu.

Wengine kwa kipindi hicho hata ukijua kutumia e-mail ni bure, kwa sababu watu tunaojuana nao hakuna hata mwenye idea kwamba kuna kitu duniani kinaitwa e-mail.
 
Wakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.

Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe.

Facebook
Twitter
iPhone[emoji336]
iPad
Android
Alibaba
Apple App Store
Uber
Airbnb
Blockchain
Square
Stripe
Spotify
Dropbox
Instagram
Snapchat
WhatsApp
Pinterest
Kickstarter
Messenger
Quora
Tumblr
BuzzFeed
Hulu
Tinder
Nest
Fitbit
Oculus
Tencent
Kindle
Bitcoin
4G
TikTok

Ongezea Hapo Zaidi......

Ikumbukwe Hivi Vitu Havikuwepo Duniani Sio Tanzania Tuu. Nimefanya Utafiti Wangu.
Vyote hivyo vimeanzishwa na akili kubwa na kwasasa ni makampuni makubwa duniani ukiwa umechangia kukua kwao kimapato
 
Back
Top Bottom