Vitu hivi havikuwepo Mwaka 2003. Maisha yako Spidi


Vingi hapo vilikuwepo mkuu
 
Umeisahau jf mkuu hii nayo si ya juzi juzi tu hapa.
 
Kulikuwa na Hi5, MySpace, zorpia na mitandao mingi ya dating ilivyokuwa maarufu ulaya na marekani kabla haijaanzishwa Facebook, betting zimekuwepo ulaya na marekani kwa miaka mingi bongo ndio imekuja juzi. Bongo mwaka 2000 ITV walikuwa na betting yao jackpot bingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…