Wiwachu
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 809
- 924
NASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WENU VITU KARIBU VYOTE VIMESHAUZWA KASORO FENI YA UKUTANI TU NDO ILIYOBAKI
Habari za mda huu wajameni, nadhani mko poa baada ya pasaka, leo nakuja kwenu kama kichwa cha mada kinavojieleza, mimi baada ya kuhamia nyumba ya isiyo na umeme kwa sasa.
Vitu vyenyewe ni kama vinavoonekana kweny picha ni friji la milango miwili aina ya mengchi lalitumii umeme mwingi , linauzwa 159,000/= pia kuna pasi aina ya Phillips kama inavooneka kweny picha inauzwa 24,000/= iko vizuri pia kuna king'amzi cha startimes na antena yake na waya wake full ni lile toleo la mwanzo mwanzo yaani ukinunua unafika unaangalia kabisaa tv hakina shida yoyote kinauzwa 49,000/=
Pia kuna DVD player aina ya singsung haichagui cd ina sehemu ya kuweka flash haina shida yoyote inauzwa 29,000/=
Pia kuna radio Suwboofer seapiano ina watt 60 inapiga mziki hatari sema inasppeaker moja ndogo nyingine watoto waliiharibu haipo ila inapiga mziki kwa speaker hiyo moja iliyopo balaa ukipenda unaweza nunua speaker moja nyingine zinapatikana kirahisi na sio bei hii radio inauzwa 59,000/=, pia kuna feni ya ukutani aina ya evernal ina watt 55 iko vizuri haina tatizo inauzwa 49000/=
Nipo dar tabata kinyerezi kifuru. Unaweza kununua kimoja wapo katika hivyo sio lazima uchukue vyote pia kama mda kwako ni tatizo unaweza kuletewa popote ulipo kwa bodaboda nauli ni juu yako uwe umenunua au lah maana.. Ww unaweza usihitaji hata kitu kimoja katika hivyo ila rafiki, ndugu na janaa anaweza hitaji kwa iyo mwambie, hasa kwa wanaoanza maisha vinawafaa sana maana ni bei chee
Nimeamua kuuza baadhi ya vitu ili visije kuharibika nikakosa hata hiko kiasi kidogo ambacho ningepata kama nitauza kabla ya vitu hivo kuharibika maana ya Mungu mengi uhakika wa lini nitapata umeme sina kutokana na shirika letu kenyewe kama mnavolijua ubabaishaji ni mwingi mno sasa niende kwe point karubuni watu wote..
Kwa walio serious wanitafute call na WhatsApp 0756 695846 , call pekee ake ni 0712776823 hii namba haiko whatsapp. Nipo dar tabata kinyerezi kifuru. NB: namba ya WhatsApp ni ya voda tu tigo ni kupiga na sms haina WhatsApp kwaiyo ukituma sms whatsapp kwenye tigo ushishangea kutojibiwa.