INAUZWA Vitu hivi vinauzwa kwa bei nafuu, friji, pasi, Suwboofer, king'amzi cha startimes, feni na DVD player

INAUZWA Vitu hivi vinauzwa kwa bei nafuu, friji, pasi, Suwboofer, king'amzi cha startimes, feni na DVD player

Kama mda kwako ni tatizo unaweza kuletewa popote ulipo ila nauli ya bodaboda nijuu yako uwe umenunua au hukununua.. Karibuni sana..
 
Friji na Radio tayari Vimesha nunuliwa vimepata wateja vimeuzwa bado vitu vingine na kuna watu wengi wanaviihtaji kwaiyo atakae wahi na kichangamka ndo huyo nitafanya nae biasha.. Karibuni sana wote.
 
Asanteni kwa ushirikiano wenu karibuni tumalizie mzigo
 
Vitu bado vipo jameni fanyeni hima mje tumakizie mzigo weekend hii ukihitaki kweli unaweza letewa popote ila nauli ya bodaboda nijuu yako uwe umenunua au hukununua ni hayo tu.
 
Wale mlopiga cm kuwa mnakuja ninawasubir jmn karibuni sana
 
Nawasubir mlopiga cm mkasema mnakuja
 
NASHUKURU SANA KWA USHIRIKIANO WENU VITU KARIBU VYOTE VIMESHAUZWA KASORO FENI YA UKUTANI TU NDO ILIYOBAKI
 
Back
Top Bottom