Hiindo capitalist economy wakuu.
- Tuko kwenye mfumo wauchumi kikabaila, walicho nacho ndo wata weza kusavavivu
- Huu ni uchumi wakufanya kazi na kula kwa jasho lako, tulizoea ule mfumo wa kijamaa, wakuunazani kwa sasa dunia nzima hakuna tena nchi inayo practice pure socialismeconomy.
- HAPA SI KUKAA NAKULALAMIKA, NI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA MAALIFA YA HALI YA JUU MKUU, HIZO BEIUNAZO SEMA KUNA WATANZANIA WENGINE WANAONA SI KITU, NI KWA SABABU WANA PESA NAWANAFANYA KAZI KWA BIDII.
- Na serikali yetuhaina uweza wa kufidia hiyo bei so kilichopo ni kukomaa
- Na hii hali yavyakula kupanda bei si kwamba iko Tanzania pekee, na hapa ndo fulusa za kulimazinaibuka, lazima tuingie mapolini tuzalishe kwa ajili ya kuuza ndani na nje.
- ILA TUNAKO ELEKEATANZANIA PAMOJA NA KUWA NA MAENEO MENGI YA KULIMA ITABIDI KUAGIZA CHAKULAKUTOKA NJE YA NCHI, KWA NINI?
1. Nguvu kazi nyingivijana wamehamia mijini kuenedesha TOYO
2. Kazi ya kulimakuachiwa wazee peke yake
3. Watanzania wengikukimbilia biashara zingine tofauti na za kilimo na ufugaji. Watanzania wengiunakuta wanapenda waanzishe biashara tofauti na za kilimo, mfano
- Maduka ya kuuza vitukutoka china
Mabaa
Hoteli
Biashara ya mabasi nakazalika
4. Mashamba mengi sanakugeuzwa kuwa makazi ya watu ya kujenga nyumba, hii inaniuma sana ingawa hayokila mtu anahaki ya kufanya shamba lake atakavyo.
NATOLEA MFANO KILIMANJARONA ARUSHA
- Wa kuu si siri kwambaArusha ilikuwa ni moja wa wazalishaji wakubwa sana wa NDIZI HAPA TANZANIA,kulikuwa na mashamba mengi sana ya ndizi maeneo ya
- CHINI YA MLIMA MERU
- MTO WA
- Kwa sasa hali nitofauti kabisa MASHAMBA YAUZWA KAMA KARANGA NA WATU WANA ONDOA NDIZI NA KUJENGANYUMBA, KWA SASA ARUSHA NDIZI ZIMEPUNGUA SANA KUTOKANA NA MASHAMBA KUGEUZWAKUWA MAKAZI YA WATU
- Kilimanjro hivyohivyo, huku maeneo ya KIA kulikuwa na mashamba ya kufa mtu, kwa sasa naonamagodown na nyumba za kuishi, hii hali si nzuri kabisa wakuu
SERIKALI ISIPO KUJA NASHERIA KALI ZA ARIDHI ITABIDI IJI ANDAE KUAGIZA CHAKULA KUTOKA NJE