Vitu Kutembea tumboni

Vitu Kutembea tumboni

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,337
Reaction score
2,339
Kuna ndugu yangu(kiume) anadai kuwa kuna vitu vinamtembea tumboni na mwili mzima.je ni tatizo gani Hilo?
 
Kuna ndugu yangu(kiume) anadai kuwa kuna vitu vinamtembea tumboni na mwili mzima.je ni tatizo gani Hilo?
Mwambie awahi hospitali haraka sana afanye uchunguzi wa afya yake kitaalamu apate matibabu
Mungu ampe afya njema
 
Mwambie awahi hospitali haraka sana afanye uchunguzi wa afya yake kitaalamu apate matibabu
Mungu ampe afya njema
Hospital alienda walisema ni u.t.I badae wanasema sio hali ya kawaida
 
Yes kwa jins anavyoeleza so Hilo la hatua Mi sijui
 
Kuna ndugu yangu(kiume) anadai kuwa kuna vitu vinamtembea tumboni na mwili mzima.je ni tatizo gani Hilo?
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Anatumia dawa yeyote kipindi hichi wakati anasikia hiyo hali
 
Back
Top Bottom