UtdProfile_
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 255
- 314
1. JIFUNZE KURIDHIKA.
Mchezo wa Kubashiri, ni moja katibya mchezo wenye matamanio na wenye mvuto mkubwa sasa, Sasa brothers, wawekezaji, Jifunze kuridhika kile ulichokipata Baada ya Kubet Usibet kwa Tamaa, Utapunwa nakuambia.
2. STAKE KIASI AMBACHO UNAUWEZO NACHO.
Usistake kiasi kikubwa for beginners, anzaa na Stake za Chini tu, kama 2000, 5000 nk .
3. CHAGUA ODDS SAHIHI.
Kwenye Betting lazima uwe na mikakati ya kuchagua Jumla ya Odds, ambazo utakuwa na uwezekano wa kumla mrusi. Mfano bet kuanzia Odds 2, 3, 4,5 mpaka 10. (Ni ushauri tu kama unaweza kuandaa treni kazi kwako).
4. CHAGUA WATU MUHIMU WA KWENDA NAO KWENYE HII SAFARI YA KUBET.
Tafuta washikaji 2 au 1 ambae ana ufahamu kuhusu bet (betting professional), nenda nae, muombe ushauri, na hakikisha unamsikiliza pale anapokupa ushauri. Acha kuhama hama leo kwa Huyu kesho kwa yule.
5. FINAL, BETTING NI PROBABILITY, Maana ake kuna Kupata na Kukosa, hivyoo unatakiwa kukubaliana na matokeo yeyote kwenye Slip Yako.
🔞🔞 PERSON UNDER 18 years OLD ARE NOT ALLOWED🔞🔞
Bet Kistaarabu, ✍️✍️✍️✍️