VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KWENYE KUBET✍️✍️✍️

VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KWENYE KUBET✍️✍️✍️

Je pombe na anasa mi kuliko niende club kunywa pombe na kuvuta shisha na uzinzi Bora nibet mana naweza kubet nikiwa kazini nikiwa nyumbani na nakula vipesa vya kununua simu mpya na mambo mengne
Ataelewaaa tu✍️✍️
 
Betting kwenye kitu gani ?

Kwenye mpira / casino na mchezeshaji yoyote ambaye ni Bookmaker Betting ni Probability inayomu-favor mchezeshaji.. Thus in the long run utapoteza / utaliwa... tu Ngoja nikupe mfano....

Tuseme tunajua kabisa kwamba Timu A kwa nguvu zake ana uwezo wa kuzifunga timu zote bila shida yoyote ila kutokana na happenstance kwa kawaida huwa anadraw mechi moja au kufungwa katika msimu (sio zaidi ya mechi moja); Labda msimu una mechi 100; kwahio mimi mchezeshaji nikikupa Odds za 1.2 ; hapo ni kwamba ukiweka dau la Tshs 1/= mara mia utakuwa umetumia Tshs 100/= na kama Timu A ikishinda mechi zote kama ambavyo inategemewa on average utakuwa umepata Tshs 120 yaani faida Tshs. 20/= na sababu najua hilo kwamba kuna game moja itapotea kwahio utashinda Tshs 19/=

Kwa kufahamu hilo badala ya kukupa odds za 1.2 Takupa odds za 1.01 Yaani kwenye mechi 100 ukishinda zote utapata faida ya Tshs. 1 lakini sababu najua kuna atleast game moja Timu A itapoteza utakuwa umepoteza Tshs. 1 kwenye hio game hence mwisho wa siku utajikuta wewe ndio umepoteza

Moral of the Story: The House Eventually Always Wins
 
Kuna mtu kalima ekari 5 za mahindi na yamekauka kwa kukosa mvua ya kutosha.
Kwa mfano wako nikirudisha katika mfano wa betting ni sawasawa mtu a-bet kwamba Everton atamfunga Liverpool; Ni kweli anaweza kumfunga ila probability ni kwamba Liverpool atashinda kutokana na ubora wake...; Ndio hivyo kama Mvua hazina uhakika hio itakuwa betting lakini kwa mtu ambaye analima sehemu yenye mvua au kuna uwezekano wa kumwagilizia hapo odds za kufanikiwa ni kubwa zaidi (Ingawa kwa Bongo na Serikali kutokuwa na Sera nzuri inapelekea soko kuwa Bahati Nasibu)
Kila mtu acheze kamari ktk eneo lake.
Tukija kwenye mfano wa kilimo kwenye betting ni sawasawa Mimi mwenye ardhi nikwambie kalime..., ukipata gunia kumi (kama mvua itanyesha) utanipa Tisa (ukikosa kabisa kama mvua Haitanyesha) takurudishia Mbegu ulizotumia..., Hivyo hapo utaona wewe una raw Deal (hata mvua isiponyesha mara tisa kati ya kumi) ile moja tu iliyonyesha taweza kukupa mbegu zile mara tisa na mimi kubaki na gunia kama nane...
 
Kwa upande wangu nitatoa Elimu Humu mpaka tumpige mrusiii✍️✍️✍️✍️
Wanalalamika vyuoni wanafunzi wanabet sana inabidi wakimaliza wapewe vyeti viwili kimoja kiwe cheti cha kuhitimu kubet kwa muda wa miaka mitatu na hao dada zetu wao wanafanya udangaji yaani ukilala nae anataka umpe Pesa usipompa anaona humpendi na wao wakimaliza wapewe cheti cha kuhitimu udangaji kwa muda wa miaka mitatu

-Mangungo The Chief
 
Wanalalamika vyuoni wanafunzi wanabet sana inabidi wakimaliza wapewe vyeti viwili kimoja kiwe cheti cha kuhitimu kubet kwa muda wa miaka mitatu na hao dada zetu wao wanafanya udangaji yaani ukilala nae anataka umpe Pesa usipompa anaona humpendi na wao wakimaliza wapewe cheti cha kuhitimu udangaji kwa muda wa miaka mitatu

-Mangungo The Chief
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom