ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nikikuwekea dashboard yangu hapa uta kaa kimyaNAMSHUKURU MUNGU.
Hii dhambi yakucheza kamali sijawahi kuifanya.
VIJANA WANAPOTEZA PESA KUPITIA HUYU SHETANI KAMALI.
Ataelewaaa tu✍️✍️Je pombe na anasa mi kuliko niende club kunywa pombe na kuvuta shisha na uzinzi Bora nibet mana naweza kubet nikiwa kazini nikiwa nyumbani na nakula vipesa vya kununua simu mpya na mambo mengne
Wanatupinga mwananguuu, kisa Kubet tu daaaah 🤔🤔🤔Mbona nyie mnaenda kuvuta shisha sisi wala hatusemi. Mbona mnahonga sisi tumetulia tu ...
🤝🤝🤝🤝🤝 Wataelewaa tuuuu Masta
Hata asipo elewa mimi sihongi nimechagua kubet wao wahonge...Ataelewaaa tu✍️✍️
Yes We Did, tuendelee na harakat zetuHata asipo elewa mimi sihongi nimechagua kubet wao wahonge...
Ova.
Kuna mtu kalima ekari 5 za mahindi na yamekauka kwa kukosa mvua ya kutosha.NAMSHUKURU MUNGU.
Hii dhambi yakucheza kamali sijawahi kuifanya.
VIJANA WANAPOTEZA PESA KUPITIA HUYU SHETANI KAMALI.
Kwa mfano wako nikirudisha katika mfano wa betting ni sawasawa mtu a-bet kwamba Everton atamfunga Liverpool; Ni kweli anaweza kumfunga ila probability ni kwamba Liverpool atashinda kutokana na ubora wake...; Ndio hivyo kama Mvua hazina uhakika hio itakuwa betting lakini kwa mtu ambaye analima sehemu yenye mvua au kuna uwezekano wa kumwagilizia hapo odds za kufanikiwa ni kubwa zaidi (Ingawa kwa Bongo na Serikali kutokuwa na Sera nzuri inapelekea soko kuwa Bahati Nasibu)Kuna mtu kalima ekari 5 za mahindi na yamekauka kwa kukosa mvua ya kutosha.
Tukija kwenye mfano wa kilimo kwenye betting ni sawasawa Mimi mwenye ardhi nikwambie kalime..., ukipata gunia kumi (kama mvua itanyesha) utanipa Tisa (ukikosa kabisa kama mvua Haitanyesha) takurudishia Mbegu ulizotumia..., Hivyo hapo utaona wewe una raw Deal (hata mvua isiponyesha mara tisa kati ya kumi) ile moja tu iliyonyesha taweza kukupa mbegu zile mara tisa na mimi kubaki na gunia kama nane...Kila mtu acheze kamari ktk eneo lake.
Wanalalamika vyuoni wanafunzi wanabet sana inabidi wakimaliza wapewe vyeti viwili kimoja kiwe cheti cha kuhitimu kubet kwa muda wa miaka mitatu na hao dada zetu wao wanafanya udangaji yaani ukilala nae anataka umpe Pesa usipompa anaona humpendi na wao wakimaliza wapewe cheti cha kuhitimu udangaji kwa muda wa miaka mitatuKwa upande wangu nitatoa Elimu Humu mpaka tumpige mrusiii✍️✍️✍️✍️
😂😂😂😂😂Wanalalamika vyuoni wanafunzi wanabet sana inabidi wakimaliza wapewe vyeti viwili kimoja kiwe cheti cha kuhitimu kubet kwa muda wa miaka mitatu na hao dada zetu wao wanafanya udangaji yaani ukilala nae anataka umpe Pesa usipompa anaona humpendi na wao wakimaliza wapewe cheti cha kuhitimu udangaji kwa muda wa miaka mitatu
-Mangungo The Chief