Vitu Navyovipenda kwenye Mapenzi...

Haya, nimekuja ngoja nisome ila mi "robot". sijui kama huu uzi nitauelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaka angu na mm unilinde hivi hivi na kunilindia kijana wako
Hahahaha
Yule jamaa huwa namlinda mpaka sometimes ana nichukia [emoji23]. Na nilisha mwambia kuwa anivumilie tuu. Mi wewe tuko pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…