[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ba mkwe kakushushia ujumbe wako kasema ukija nimuite kurlzawa ba mkwe ukuje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah,sawa buana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah,sawa buana
Tueleze yako plz
Napenda vile anavyoniheshimu lakini siyo kuniogopa...
Napenda vile alivyo huru na mimi, kunielezea chochote, popote muda wowote...
Napenda vile alivyo na akili za kunishauri na kunielekeza napokesa na hata nikimgombeza bado hatorudi nyuma...
Napenda vile mara nyingine anajifanya hataki au kachoka kumbe kimoyo moyo anasema njoo unichanie chupi na kuitupia mbali nikupe yote... na kweli inakua hivyo...
Napenda saa zingine ana nuna bila sababu ili nimdekeze, kumbebabeba na hata kumshika shika...
Napenda vile sometimes vile anvyonikumbatia na kunipa tongue kisses bila hata kua na sababu... kajisikia tu...
Napenda vile ukimpa pesa lazima utaiona hiyo pesa alichoifanyia na siyo cha kipumbavu...
Napenda vile kila mara anaposinzia na kulala kifuani kwangu, ila nikimbusu ana ni busu pia...
Napenda vile napompa kazi anaisimamia kwa umakini na uangalifu...
Napenda vile anavyopenda kila kitu changu, au chetu... napenda vile anavyojipenda...
Huyo ni mahondaw wangu...
Ni mengi mno mno mno...
Cc: mahondaw
I never knew you would turn my world into such a paradise ; caring and loving.Napenda vile anavyoniheshimu lakini siyo kuniogopa...
Napenda vile alivyo huru na mimi, kunielezea chochote, popote muda wowote...
Napenda vile alivyo na akili za kunishauri na kunielekeza napokesa na hata nikimgombeza bado hatorudi nyuma...
Napenda vile mara nyingine anajifanya hataki au kachoka kumbe kimoyo moyo anasema njoo unichanie chupi na kuitupia mbali nikupe yote... na kweli inakua hivyo...
Napenda saa zingine ana nuna bila sababu ili nimdekeze, kumbebabeba na hata kumshika shika...
Napenda vile sometimes vile anvyonikumbatia na kunipa tongue kisses bila hata kua na sababu... kajisikia tu...
Napenda vile ukimpa pesa lazima utaiona hiyo pesa alichoifanyia na siyo cha kipumbavu...
Napenda vile kila mara anaposinzia na kulala kifuani kwangu, ila nikimbusu ana ni busu pia...
Napenda vile napompa kazi anaisimamia kwa umakini na uangalifu...
Napenda vile anavyopenda kila kitu changu, au chetu... napenda vile anavyojipenda...
Huyo ni mahondaw wangu...
Ni mengi mno mno mno...
Cc: mahondaw
Shunia kumbe huwa unapenda.Unipende mm tu yaani unipende mm tu jamani unipende na kunijali na kuniheshimu
Mkuu jamani kwani mm ni robotShunia kumbe huwa unapenda.
FreshUnaitwa I like it
Sawa
Mje na huku Mzee wa upako anawaita akawararue
Mzee wa Upako awaonya Alikiba na Diamond Platnumz waache Uzinzi...
Wakati Unaandika Hii Ulikua Ushakunywa Bia Ngapi?Unipende mm tu yaani unipende mm tu jamani unipende na kunijali na kuniheshimu
Chamdeko kama nyau wanguUnipende mm tu yaani unipende mm tu jamani unipende na kunijali na kuniheshimu
Wakati Unaandika Hii Ulikua Ushakunywa Bia Ngapi?
Babu jamani nyau wako yupi huyo nae anapenda kupendwa kama mm eenhChamdeko kama nyau wangu
Kinyau kinapenda kupendwa balaa. Basi kinadeka mpk kinakera... nna mpango wa kukiwekea sumuBabu jamani nyau wako yupi huyo nae anapenda kupendwa kama mm eenh