Vitu Navyovipenda kwenye Mapenzi...

Vitu Navyovipenda kwenye Mapenzi...

Tueleze yako plz

Napenda vile anavyoniheshimu lakini siyo kuniogopa...

Napenda vile alivyo huru na mimi, kunielezea chochote, popote muda wowote...

Napenda vile alivyo na akili za kunishauri na kunielekeza napokesa na hata nikimgombeza bado hatorudi nyuma...

Napenda vile mara nyingine anajifanya hataki au kachoka kumbe kimoyo moyo anasema njoo unichanie chupi na kuitupia mbali nikupe yote... na kweli inakua hivyo...

Napenda saa zingine ana nuna bila sababu ili nimdekeze, kumbebabeba na hata kumshika shika...

Napenda vile sometimes vile anvyonikumbatia na kunipa tongue kisses bila hata kua na sababu... kajisikia tu...

Napenda vile ukimpa pesa lazima utaiona hiyo pesa alichoifanyia na siyo cha kipumbavu...

Napenda vile kila mara anaposinzia na kulala kifuani kwangu, ila nikimbusu ana ni busu pia...

Napenda vile napompa kazi anaisimamia kwa umakini na uangalifu...

Napenda vile anavyopenda kila kitu changu, au chetu... napenda vile anavyojipenda...

Huyo ni mahondaw wangu...

Ni mengi mno mno mno...

Cc: mahondaw
 
khakhakhaaaaaaa nimesoma mpaka hapo pa sitaki nataka kimoyo moyo njoo unichanie kyupi nimejikuta napasuka kwa kicheko.... Ila smart dohh [emoji87] [emoji87]

naendelea kusoma tih seriously smart wangu unanimarrrliiza ... Mimi penda sana veve
 
Napenda vile anavyoniheshimu lakini siyo kuniogopa...

Napenda vile alivyo huru na mimi, kunielezea chochote, popote muda wowote...

Napenda vile alivyo na akili za kunishauri na kunielekeza napokesa na hata nikimgombeza bado hatorudi nyuma...

Napenda vile mara nyingine anajifanya hataki au kachoka kumbe kimoyo moyo anasema njoo unichanie chupi na kuitupia mbali nikupe yote... na kweli inakua hivyo...

Napenda saa zingine ana nuna bila sababu ili nimdekeze, kumbebabeba na hata kumshika shika...

Napenda vile sometimes vile anvyonikumbatia na kunipa tongue kisses bila hata kua na sababu... kajisikia tu...

Napenda vile ukimpa pesa lazima utaiona hiyo pesa alichoifanyia na siyo cha kipumbavu...

Napenda vile kila mara anaposinzia na kulala kifuani kwangu, ila nikimbusu ana ni busu pia...

Napenda vile napompa kazi anaisimamia kwa umakini na uangalifu...

Napenda vile anavyopenda kila kitu changu, au chetu... napenda vile anavyojipenda...

Huyo ni mahondaw wangu...

Ni mengi mno mno mno...

Cc: mahondaw
I never knew you would turn my world into such a paradise ; caring and loving.
Wen I hold your hands, wen I thin about you unanipa strength ya kufight on.. Smart911 Your love has taught me never to give up in life. Asante kwa kunipenda this much asante kwa kunifunza asante kwa kunifanya kuwa mwanamke fulani hivi jamani sifa zako kamwe haziishi... Smart wangu sijui nianzie wapi wanielewe....
 
Back
Top Bottom