Mapenzi ya kweli ukitaka kuyaenjoy kubali kuridhika na vitu vidogo kwanza
Kuna vitu napenda sana kwenye mapenzi ambavyo nafanyiwa na Mume wangu:
Napenda Mshiko wako kitandani haujawahi kuchuja
Napenda Unavyonipenda
Napenda unavyonikosha
Napenda unavyojua kunifurahisha
Napenda ambavyo haujibakizi
Nakupenda kwasababu hauzeeki maini
Nakupenda kwasababu mpaka Leo unajua kunitongoza
Napenda ambavyo haujui kuweka vitu moyoni
Napenda unavyo-hustle kwa ajili ya familia
Napenda Pesa, Dhahabu na Mali zote ulizonipa
Napenda Designer Mavazi, Malazi na Vyakula unavyonipa
Napenda Vacations unazonipeleka kila mwaka
Napenda jinsi unavyowajibu Exes wangu wa zamani wanaponitongoza kwenye simu na mitandao ya kijamii
Napenda unavyoniita jina langu la kwanza kwa sauti ya kiume
Napenda unavyoniita jina langu last utani
Nakupenda kwasababu unaakili sana za maisha, biashara, kazi... Tanzania imebarikiwa kukupata wewe
Napenda mazungumzo yetu kwenye sìmu tangu unanichumbia mpaka tuna wajukuu hayajawahi kuchuja
Nakupenda kwakuwa haikusumbui mimi kuwepo kwenye mitandao ya kijamii
Napenda jina ulilonichagulia nitumie kwenye mitandao ya kijamii
Napenda Unavyonipa raha kitandani
Nakupenda kwasababu sijawahi kutana na size yakukuzidi wewe
Nakupenda kwasababu hauna kinyaa na mapenzi
Napenda style mpya unazoleta kitandani kwa miaka 30 ya ndoa
Napenda Ulivyo Mkarimu, Mpole, mcheshi, handsome,
Napenda Imani yako kwa Mungu
Napenda tuendelee kupendana mpaka tutakaporudisha namba kwa Sir God
Na mimi Nakupenda sana
Napenda unavyowapenda na kuwajali watoto na wajukuu zetu
Napenda unavyowapenda na kuwajali ndugu zetu na familia zetu wote
Nakupenda kwasababu sijawahi kujuta kuolewa na wewe
Nakupenda Maisha Mume wangu
Ps:
Cardi B Hongera sana kwa nyimbo nzuri. .. Surely mwaka 2018 ni Mwaka wa Cardi B Nikki Minaj atasubiria sana
Niambie mpenzi msomaji vitu gani unapenda kwenye mapenzi? !