Yeah nimelielewa hilo!I think uzi umebase after majukumu ya kazi zako/ za watu....
Unafaa kuwa mke wangu..napenda
Pesa
kupika
kula
kukaa ndani bila nguo
kusikiliza music πΆ
tuanze vikao vya send offUnafaa kuwa mke wangu..
Unasemaje mamy..π
Usihofu hata ukitaka na mimba nitakupa mama ilimradi tu nisikukose..πtuanze vikao vya send off
heee π©π©Usihofu hata ukitaka na mimba nitakupa mama ilimradi tu nisikukose..π
ππ Usilie mama tutafanya hiyo send off na send on..πheee π©π©
apo sawaππ Usilie mama tutafanya hiyo send off na send on..π
Umenizid kupitisha siku bila kukunywa aiseh..1. I do like staying indoors kama sina sababu ya msingi ya kunitoa nje....
2. Kulala
3. Staying indoors with bae, yatakayoendelea hapo hayawahusu...
4. Kula kula snacks, bites and the like
5. Muziki
6. Napenda kunywa, ni ngumu kumaliza siku sijanywa kimiminika cha aina nyingine tofauti na maji
Is a weekend, drink responsibly drink wiser π»
Happy weekend to y'all...
Mjep kuna ginger ale yako inakusubiri hapa π