Vitu tuvipendavyo katika maisha yetu ya kila siku

napenda
Pesa
kupika
kula
kukaa ndani bila nguo
kusikiliza music ๐ŸŽถ
Unapenda kuniiga dada.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Hapo kwenye kukaa bila nguo umenitisha sana...๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†nimejaribu kukupatia picha nimeshindwa...
 
Napenda kusoma historia na facts zisizo za maana

For instance Robo ya wafanyakazi duniani hawapendi kazi zao
 
tuanze vikao vya send off
Wooooooooooozaaaaaaaaaaaaa๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿงšโ€โ™€๏ธ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚
Mimi nitakaa Kwenye kamati ya gambe ๐Ÿ˜…
 
Usihofu hata ukitaka na mimba nitakupa mama ilimradi tu nisikukose..๐Ÿ˜‰
Weraaaaaaaaaaaaaaaaa...dada niko hapa๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚๐Ÿฅ‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ