Vitu unavyopaswa kujua baada ya kuwa na umri wa miaka 35

Vitu unavyopaswa kujua baada ya kuwa na umri wa miaka 35

run CMD

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
3,185
Reaction score
3,909
1. Kudhibiti ulimi.
Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya

2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni.

3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa epuka wivu Jifunze Kwa waliokuzidi.

4.familia unayotengeneza ni Jambo muhimu haijalishi ulitoka familia gani.

5.Kazi ya kuajiriwa inaua ndoto zako.

6.Epuka watu walio na mawazo hasi na kulaumu kila Jambo.

7.Ni Bora kuwa na rafiki mmoja
✓anayekupa furaha.
✓anakusupport
✓anayependezwa na maendeleo yako.
Epuka rafiki.
✓ wavivu.
✓wanakutumia.
✓wenye wivu.

8.Utakuwa na furaha zaidi ukiacha kulaumu wazazi wako

9.Maisha yako ni jukumu lako Kwa 100%.


10. Hauitaji kusoma vitabu 100+ kufanikiwa unahitaji nidhamu na actions


Ongezea
 
Mapema sana... Ndio unakuta mtu ana miaka 40 humu anasambaza chuki eti phd , upumbavu tupu!
 
35 yearss.... damn... tuliozaliwa 1989 hapo tumefikiwa....uzee huu hapa... hakika nitazishika na kuzifanyia kazi kanuni hizo.... la mwisho la kuongeza, tunza na chunga sana afya... tukatae ndamby, lets eat healthy, avoid over drinking na tufanye mazoezi.
 
Maisha hayana kanuni, ishi unavyoona wewe inafaa
 
Back
Top Bottom