Vitu vichache nilivyojifunza kutoka quarantine mpaka sasa.

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
(1)Furaha yako ikitegemea uwepo.wa mtu mwingine ni hatari sana,raha jipe mwenyewe.

(2)Kusave hela sio mpaka uwe unasomesha au unajenga,kuna mabalaa ya khafla yanayoweza kukuadhiri mjini mfukoni ukiwa huna kitu.

(3)Nyumbani ndio sehemu pekee ya kutuliza akili zetu,baa na club zinapostpond matatizo tu ila guwezi kuyamaliza.

(4)Hata uwe na ujuzi na elimu kubwa kiasi gani,mafanikio yako yanategemea wengine,wasipokuwepo ujuzi wako ni useless na hautakuingizia chochote.

(5)IT inapaswa kuwa sehemu ya unavyovijua,dunia inategemea teknolojia kwenye habari na biashara.

Wewe umejifunza nini???share hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifunza kuwa maisha ni ubadhilifu ,binadamu ni Mtoto wa Mungu na covid19 ni vita yakiuchumi,afya na Dini pia,Mungu ni yule Jana na leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SUAL LA KUKAA NA NA WATOTO SI MCHEZO
Kumbe walimu wanfanya kazi kubwa sana mashuleni
Sasa natowa heshima zote kwa walimu,naahidi sintachelewesha ada ngo'
Salute walimu wangu🙏
 
Kumbe maisha ni kula na kunywa vizuri mengine ni mbwembwe. Unaweza kuwa na hela ukafa njaa ukiwa lockdown. Lockdown ya shambani haina madhara kama ya mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…