Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,231
(1)Furaha yako ikitegemea uwepo.wa mtu mwingine ni hatari sana,raha jipe mwenyewe.
(2)Kusave hela sio mpaka uwe unasomesha au unajenga,kuna mabalaa ya khafla yanayoweza kukuadhiri mjini mfukoni ukiwa huna kitu.
(3)Nyumbani ndio sehemu pekee ya kutuliza akili zetu,baa na club zinapostpond matatizo tu ila guwezi kuyamaliza.
(4)Hata uwe na ujuzi na elimu kubwa kiasi gani,mafanikio yako yanategemea wengine,wasipokuwepo ujuzi wako ni useless na hautakuingizia chochote.
(5)IT inapaswa kuwa sehemu ya unavyovijua,dunia inategemea teknolojia kwenye habari na biashara.
Wewe umejifunza nini???share hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app