1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito, Watu wanajua kikosi kizima lakini hawajui chochote kuhusu vifurishi vya bima.
2. Kutumia kiswahili shuleni - Kama taifa tumeshaambulia aibu kibao kuanzia kwa Mawaziri, Marais, wakalimani, n.k. wenye PHD zao, wanapata ugumu Kuelewa, kujieleza, kuchangia mawazo, n.k. English ni lugha ya kimataifa ni lazima watoto wafundishwa kuanzia shule ya msingi tena ikibidi waletwe wakenya maana english medium kibao waalim wa kiingereza lugha inawapa shida wanajua kufundishia ubaoni pekee, Hali hii imefanya watanzania wengi kuogopa kutoka nje ya nchi, Wakenya na wahindi wanapiga pesa ndefu kwenye biashara za kimataifa kwa maloghafi za Tanzania, n.k.
3. Ulafi- mfano mdogo tu Tanzania ni nchi yenye pato dogo kitaifa, wananchi wanajikamua kulipa kodi lets say imefika bilioni 1, serikali inanunua magari matatu vx michuma ya kisasa, Bajeti hio inaweza kununua Hilux 20 mpya imara ila ukitoa hayo mawazo wanakimbilia Kujitetea kwamba "Mnataka tutembelee baiskeli ?" Barabara zetu sehemu nyingi ni moja inatumika na magari yote, ajabu ni kwamba kiongozi anataka attention kwa kusimamisha magari yote lisaa zima ili aonekane, ni ubinafsi !!
4. Uchawa
Soma Pia: Ningekuwa Rais ningefanya mambo haya muhimu zaidi