Vipi kuhusu Manchester United, Manchester City, Chelsea, Arsenal n.k kule Uingereza?nakuunga mkono kwenye simba na yanga maana nimewahi kuwaambia wanangu kuwa hii simba na yanga ina wabrain wash wasahau kuhusu nchi yao walinipinga vibaya sana wengine kidogo tuzichape
Plain sailing? dont you know mattizo mengi yanasababishwa na viongozi wetu.Shida ni social attitude na kielelezo ni mada kama hizi.
Uwezi kulaumu watu mipango yako ikienda ndivyo sivyo.
Hakuna kanuni ya plain sailing kwenye maisha.
Uwezi kulaumu washabiki wa mpira kufuata hobby. Shida ni wanasiasa wasio na ushawishi.
Watanzania hawana uelewa wa kuwa personal responsible na wala mbinu za kufikia goals zao.
Utasikia nimemaliza chuo serikali aijaniajiri ni wapi kwenye katiba inasema serikali inajukumu la kumuajiri kila mtu.
Watu wengi hawana plan za maisha, hawafanyi assessment ya mazingira na kuja plan ya kufikia goals zao.
Kutwa kulaumu wengine for their failure, this is a very bad social culture which is permeated in Tanzania.
Uwezi laumu environmental factor inabidi ujipange. Hakuna plain sailing kwenye maisha you have to learn to navigate your way in life.
Wewe huna mbinu za ushawishi unalalamikia mpira, ndio akili gani hizo. Unafahamu waingereza wanavyopenda mpira sidhani kama ushabiki wa Tanzania unawafikia. Yaani mchezaji akiama Tottenham kwenda Arsenal mashabiki awamsamehe maisha yake yote ya mpira.
5. Bunge mbonyeo1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito,
2. Kutumia kiswahili shuleni - Kama taifa tumeshaambulia aibu kibao kuanzia kwa Mawaziri, Marais, wakalimani, n.k. wenye PHD zao, wanapata ugumu Kuelewa, kujieleza, kuchangia mawazo, n.k. English ni lugha ya kimataifa ni lazima watoto wafundishwa kuanzia shule ya msingi tena ikibidi waletwe wakenya maana english medium kibao waalim wa kiingereza lugha inawapa shida wanajua kufundishia ubaoni pekee, Hali hii imefanya watanzania wengi kuogopa kutoka nje ya nchi, Wakenya na wahindi wanapiga pesa ndefu kwenye biashara za kimataifa kwa maloghafi za Tanzania, n.k.
3. Ulafi- mfano mdogo tu Tanzania ni nchi yenye pato dogo kitaifa, wananchi wanajikamua kulipa kodi lets say imefika bilioni 1, serikali inanunua magari matatu vx michuma ya kisasa, Bajeti hio inaweza kununua Hilux 20 mpya imara ila ukitoa hayo mawazo wanakimbilia Kujitetea kwamba "Mnataka tutembelee baiskeli ?" Barabara zetu sehemu nyingi ni moja inatumika na magari yote, ajabu ni kwamba kiongozi anataka attention kwa kusimamisha magari yote lisaa zima ili aonekane, ni ubinafsi !!
4. Uchawa
Soma Pia: Ningekuwa Rais ningefanya mambo haya muhimu zaidi
Naungana nawe vijana wanafanya sana kazi ila fedha inapotelea kwa mvaa skafu ya benderahapana kwenye uvivu nakupinga mkuu hakuna sehemu unakosa wavivu lakini nchi yangu vijana ni wachapakazi ingawa hakuna support za kufanya vijana wasonge mbele
Huku kwetu ni "...wape kofia, vilemba, t-shirt na kanga wasahahu matatizo yao"Imeandikwa
".....wape pombe wasahau matatizo yao..." au kitu kama hicho.
Wewe ni rema?YANGA NA SIMBA -
Nasisitiza, huwezi kulinganisha England au Misri na TZ. Sisi bado sana hatuna misingi imara ya maendeleo, tunahitaji kujitoa na kuacha mambo ya kijinga jinga kama simba na yanga. Ushabiki uwepo lakini sio huo wa kushinda vijiweni mnamjadili Feisal.Wewe ni rema?
Hapa nakataa, maana kuna mataifa kama Misri na England wanapenda mpira kuliko sisi na wako vizuri kiuchumi...
Tusitumie akili ndogo kujadili failure zetu, tutaendelea kuanguka...
Simba na Yanga imezuia vipi nchi kusonga mbele?
Kuna watu wanabisha, sijui wao wanaishi wapi? wanakuja kulinganisha England na TZ.Hiyo namba moja ndio Cancer kwa Taifa yaani Mungu aingilie kati kwa kweli.
Hakuna changamoto ya maisha isiyo na external factor. Na kama ilivyo watu hawafanani na jamii pia hazifanani.Plain sailing? dont you know mattizo mengi yanasababishwa na viongozi wetu.
Unamlaumu mtu ku navigate maisha yake kwenye mazingira yasiyowezekana kuwa navigated!?
Unalinganisha UK na Tanzania!? Wale ni Nchi ya dunia ya kwanza, TZ bado tunajitafuta, na Serikali ndio mdau namba moja wa kuweka mazingira bora kwa wananchi wake kujiajiri.
Bajeti ambayo inapaswa kuwekezwa kwenye Kilimo, viwanda, elimu na Afya, inaishia kununulia Magari ya gharama! kanunue hayo magari UK uone kama utachukua round Ofisin.
Itoshe kusema
1. simba na yanga ni cancer ya taifa. na hili lina jidhihirisha kwa vijana kutumia muda mrefu kujadili usimba na uyanga
2. Kiswahili ni lugha inayodumaza thinking capacity ya waongeaji, ndio maana nchi nyingi zinazo tumia lugha ya kiingereza kama lugha yao namba moja, wananchi wake wanaonekana kujielewa.
Watu wanajadili simba na yanga asubuhi hadi jioni, hawana agenda ya maendeleo au muelekeo wa taifa lao.Hiyo namba moja ndio Cancer kwa Taifa yaani Mungu aingilie kati kwa kweli.
Ukishaingiza matusi jua tayari umeshindwa kujadili kimantiki...Nasisitiza, huwezi kulinganisha England au Misri na TZ. Sisi bado sana hatuna misingi imara ya maendeleo, tunahitaji kujitoa na kuacha mambo ya kijinga jinga kama simba na yanga. Ushabiki uwepo lakini sio huo wa kushinda vijiweni mnamjadili Feisal.
Watu wanajadili mpira asubuhi hadi jioni, alafu unataka maendeleo?? dah.
Natamani nione Simba na Yanga zikipotea kama ilivyokuwa kwa Gorhomahia na FC Leopard huko Kenya. Nina imani there is a day we will put aside huu ulevi pale Mambo yatakapokuwa yemeharibika sana, Kwa sasa nadhani bado hapa katikati mambo hayajaharibika sana.. Tusubilie.Correct
Andiko lako, excludes role of the Gvt to the peopleHakuna changamoto ya maisha isiyo na external factor. Na kama ilivyo watu hawafanani na jamii pia hazifanani.
Tofauti ya ulaya na Africa labda kwa wenzetu kuna wenye nafuu wengi kwenye jamii kuliko kwetu.
Sasa wazungu panapo external challenges wanatafuta mbinu ya ku-adapt.
Mfano internet imeua biashara ya landline na phone charges. Sasa kuna kampuni zilikuwa na vile vibanda vya kupigia simu investments of billions. Vyote leo ni obsolete simu za majumbani nako biashara hakuna. So wana lost of income and investments.
Maana yake wangekuwa watu wakulalamikia serikali iwalinde na yenyewe ikawasikia ukuaji wa technology ungesua sua. Na wasingewalinda biashara zao leo zingekuwa hakuna.
The trick is to adapt to external environment, wote washarukia kuuza internet, cloud storage na mambo mengine ya communication za leo. Sio kukaa kulia lia internet inaua biashara yao.
Same thing ukienda kwenye jamii nako watu hatufanani (ndani ya jamii moja), kuna factors luluki zinazofanya watu wapishane. People have done extensive research from the ‘Hawthorne Studies’ to date there are ample theories on human behaviour aiming to understand what influences their decisions.
This is why hakuna team ya siasa isiyokuwa na marketing strategist ya kusaidia kiongozi wapi aongee nini, nani anataka kusikia nini, wapi unahitaji kuwa demagogue, unatumia communication vipi (above the line and below the line), ni hivi ushwawishi sio shughuli nyepesi.
Wewe unazunguka nchi nzima unaropoka tu Samia hafai, CCM haifai bila ya strategy ya choice of words; halafu ukipuuzwa ulaumu wananchi.
Tanzania kila kitu rahisi
Vita mbinu uwezi kulaumu wengine kwa kushindwa kwako.
Andiko lako liko too theoretical kwa nchi za dunia ya tatu hasa Tanzania.Hakuna changamoto ya maisha isiyo na external factor. Na kama ilivyo watu hawafanani na jamii pia hazifanani.
Tofauti ya ulaya na Africa labda kwa wenzetu kuna wenye nafuu wengi kwenye jamii kuliko kwetu.
Sasa wazungu panapo external challenges wanatafuta mbinu ya ku-adapt.
Mfano internet imeua biashara ya landline na phone charges. Sasa kuna kampuni zilikuwa na vile vibanda vya kupigia simu investments of billions. Vyote leo ni obsolete simu za majumbani nako biashara hakuna. So wana lost of income and investments.
Maana yake wangekuwa watu wakulalamikia serikali iwalinde na yenyewe ikawasikia ukuaji wa technology ungesua sua. Na wasingewalinda biashara zao leo zingekuwa hakuna.
The trick is to adapt to external environment, wote washarukia kuuza internet, cloud storage na mambo mengine ya communication za leo. Sio kukaa kulia lia internet inaua biashara yao.
Same thing ukienda kwenye jamii nako watu hatufanani (ndani ya jamii moja), kuna factors luluki zinazofanya watu wapishane. People have done extensive research from the ‘Hawthorne Studies’ to date there are ample theories on human behaviour aiming to understand what influences their decisions.
This is why hakuna team ya siasa isiyokuwa na marketing strategist ya kusaidia kiongozi wapi aongee nini, nani anataka kusikia nini, wapi unahitaji kuwa demagogue, unatumia communication vipi (above the line and below the line), ni hivi ushwawishi sio shughuli nyepesi.
Wewe unazunguka nchi nzima unaropoka tu Samia hafai, CCM haifai bila ya strategy ya choice of words; halafu ukipuuzwa ulaumu wananchi.
Tanzania kila kitu rahisi
Vita mbinu uwezi kulaumu wengine kwa kushindwa kwako.
Uongozi mzuri ulijengwa kwenye mfumo imara utaondoa hizi kadhia zote.1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito,
2. Kutumia kiswahili shuleni - Kama taifa tumeshaambulia aibu kibao kuanzia kwa Mawaziri, Marais, wakalimani, n.k. wenye PHD zao, wanapata ugumu Kuelewa, kujieleza, kuchangia mawazo, n.k. English ni lugha ya kimataifa ni lazima watoto wafundishwa kuanzia shule ya msingi tena ikibidi waletwe wakenya maana english medium kibao waalim wa kiingereza lugha inawapa shida wanajua kufundishia ubaoni pekee, Hali hii imefanya watanzania wengi kuogopa kutoka nje ya nchi, Wakenya na wahindi wanapiga pesa ndefu kwenye biashara za kimataifa kwa maloghafi za Tanzania, n.k.
3. Ulafi- mfano mdogo tu Tanzania ni nchi yenye pato dogo kitaifa, wananchi wanajikamua kulipa kodi lets say imefika bilioni 1, serikali inanunua magari matatu vx michuma ya kisasa, Bajeti hio inaweza kununua Hilux 20 mpya imara ila ukitoa hayo mawazo wanakimbilia Kujitetea kwamba "Mnataka tutembelee baiskeli ?" Barabara zetu sehemu nyingi ni moja inatumika na magari yote, ajabu ni kwamba kiongozi anataka attention kwa kusimamisha magari yote lisaa zima ili aonekane, ni ubinafsi !!
4. Uchawa
Soma Pia: Ningekuwa Rais ningefanya mambo haya muhimu zaidi
Hii ni cancer ya Nchi.Natamani nione Simba na Yanga zikipotea kama ilivyokuwa kwa Gorhomahia na FC Leopard huko Kenya. Nina imani there is a day we will put aside huu ulevi pale Mambo yatakapokuwa yemeharibika sana, Kwa sasa nadhani bado hapa katikati mambo hayajaharibika sana.. Tusubilie.