Kuna tofauti kubwa Kati ya kuanzisha biashara na kujiajiri..
Watu wengi wamekua wakijiajiri na kuzani ni wafanya biashara... Kuunda biashara ni kazi ya muda mrefu na inahitaji umakini katikakuunda timu,mfanya biashara lazima uwe na system ambayo inawezesha pesa kuzalisha pesa..
Vitu vinavyozunguka biashara
1.mission
2.team
3.Leadership
Vitu vinavyounda biashara
1.product
2.legal
3.system
4 communication
5.cash flow
Biashara inahitaji wazoo, uthubutu, kiu na Watu pamoja na pesa.