Vitu vitano vinavyosimamia biashara yako

Vitu vitano vinavyosimamia biashara yako

Elisha Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
282
Reaction score
275
Biashara pia inavitu ambavyo kila mtu anatakiwa avifuatilie ili uweze kuimanage, biashara nyingi zinafeli iwapo moja kati ya vitu hivyo vinapopungua au kukosekana hivyo basi kabla ya kuanzisha au kuanza biashara yako jiaminishe unaweza kusimamia vitu vifuatavyo.

1.Branding 2.Masoko 3.Huduma kwa wateja 4. Imani na 5. Sheria za pesa maelezo zaidi kuhusiana na vitu hivi vitano bonyeza hapa chini.

Elisha Chuma: Vitu vitano vinavyosimamia biashara yako
 
Mbona hakuna pakubonyeza bwana Elisha pale kwenye like tayari tumeisha bonyeza
 
Hujaweka hiyo link ya kutafuta mwendelezo wa somo lako kulikoni mkuu?
 
Samahani nahisi ni makosa ya kiufundi ila sehemu ya kulipata hilo somo kwa undani ni

Elishachuma.blogspot.com

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForum
 
Ni kweli kabisa kaka Elisha endapo mtu ana biashara yake ni muhimu sana akafuatilia hizi njia tano kwa mafanikio zaidi.
 
Back
Top Bottom