Vitu Vitatu naam Vinne ambavyo vinakukera katika maisha ya kawaida ya MMU

Nice topic...
  1. Kunywa coke diet ya mwenzio wakati hauko kwenye diet (so I just buy for two)
  2. squeezing the tooth paste in from the middle, unatakiwa kusqueez from the bottom up! (Ndio maana siku hizi nanunua tu ile ya can)
  3. innability to chat beyond 150 sms per day (but hili ni kosa langu maybe, so we work both ways)
Ila na hivi vitu nikivikosa hua nammiss sanaaaaaa! Kwanza hata coke diet yenyewe nikiiona naumia. lol
 
Kero nyingine nikisafiri kwenda mbali tabu, haipiti dakika 10 hajapiga simu au kubp. usiki ndo balaa full time anapiga kama ndo usingizi ulishakupitia ukachelewa kupokea au usipo pokea unaambiwa umelala na mwanamke mwingine
 
Hapo kwenye red panahitaji umakini kidogo kozi unaweza sema jamaa bahili kumbe kipato kidogo au anamipango ya baadae kama kujenga

Huku kujenga kuna siri ganin hadi ajenge kisiri siri. Kusave kwa pamoja hakuhesabiwi kama ubahili. Ubahili ni pale mtu anazo halafu hataki kutumia, iwe kwa leisure au maendeleo.
 
Kupekua vitu kama hangbag,simu na vitu vya mwenzako ni kero
 

Sasa wewe umejibu kitu gani.?
 
Aye mi mwenyewe nkua sijajua kabisa kama hili laweza tokea kumbe hata huko yapo
 
umenibamba
 
Hili la "nikuulize swali" nadhani comes standard hadi international relationships...
 
mimi kero yangu binafsi,ambayo naijua ni kero mno kwa mwingine....

sijali sana 'kupiga piga simu'
niko mvivu mno na 'mazungumzo ya simu'
napenda short and clear....
 
Jamani mimi kero kuu ni simu tu,
una hamu na mtu ye amekazana kuchat tu mara kupokea simu!
Pia kukataa cha asubuhi, huwa natamani kulia ila ndo dah sio ishu sana bado nampenda sana.
 
1. Urafiki wa kinafiki. Mtu hunipendi wala hunifagilii ila unahangaika kunitabasamia...ya kazi gani??Nionyeshe hisia zako za kweli juu yangu and i'll respect you more.

2. Kudanganya vitu visivyo na maana.. hii wote iwe rafiki ama mpenzi.

3. ............................
 
Jamani mimi kero kuu ni simu tu,
una hamu na mtu ye amekazana kuchat tu mara kupokea simu!
Pia kukataa cha asubuhi, huwa natamani kulia ila ndo dah sio ishu sana bado nampenda sana.

hii nayo yaweza kuwa hoja
 
Mambo yanayonikera ni mke wangu amwambie mfanyakazi wa ndani anitengee chakula.

Kusema uongo hata kama ni utani.

Kushikashika simu yangu na kupekua sms.

Kuwaeleza marafiki zake maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…