Vitu Vitatu naam Vinne ambavyo vinakukera katika maisha ya kawaida ya MMU

Vitu Vitatu naam Vinne ambavyo vinakukera katika maisha ya kawaida ya MMU

Nice topic...
  1. Kunywa coke diet ya mwenzio wakati hauko kwenye diet (so I just buy for two)
  2. squeezing the tooth paste in from the middle, unatakiwa kusqueez from the bottom up! (Ndio maana siku hizi nanunua tu ile ya can)
  3. innability to chat beyond 150 sms per day (but hili ni kosa langu maybe, so we work both ways)
Ila na hivi vitu nikivikosa hua nammiss sanaaaaaa! Kwanza hata coke diet yenyewe nikiiona naumia. lol
 
Kero nyingine nikisafiri kwenda mbali tabu, haipiti dakika 10 hajapiga simu au kubp. usiki ndo balaa full time anapiga kama ndo usingizi ulishakupitia ukachelewa kupokea au usipo pokea unaambiwa umelala na mwanamke mwingine
 
Hapo kwenye red panahitaji umakini kidogo kozi unaweza sema jamaa bahili kumbe kipato kidogo au anamipango ya baadae kama kujenga

Huku kujenga kuna siri ganin hadi ajenge kisiri siri. Kusave kwa pamoja hakuhesabiwi kama ubahili. Ubahili ni pale mtu anazo halafu hataki kutumia, iwe kwa leisure au maendeleo.
 
Nice topic...
  1. Kunywa coke diet ya mwenzio wakati hauko kwenye diet (so I just buy for two)
  2. squeezing the tooth paste in from the middle, unatakiwa kusqueez from the bottom up! (Ndio maana siku hizi nanunua tu ile ya can)
  3. innability to chat beyond 150 sms per day (but hili ni kosa langu maybe, so we work both ways)
Ila na hivi vitu nikivikosa hua nammiss sanaaaaaa! Kwanza hata coke diet yenyewe nikiiona naumia. lol

Sasa wewe umejibu kitu gani.?
 
Aye mi mwenyewe nkua sijajua kabisa kama hili laweza tokea kumbe hata huko yapo
 
Unaweza kufikiria vitu vitatu au vinne ambavyo kwa kweli kwenye mahusiano watu wanakubali kuishi navyo lakini kwa kweli vinakera sana. NI vitu ambavyo unatamani mwenzako angeweza kuvibadilisha lakini baada ya muda umeamua kukubali kuwa huo "ndio" mzigo wako. Umejifunza kuishi navyo lakini kwa kweli ungeweza kuishi bila kuwa navyo. Kwa mfano watu wengine wanakereka na vitu kama kukoroma, kuimba imba, kulala mapema, kuzungumza usiku wa manane na maswali yanayoanza na "nikuulize swali" n.k Hivi siyo vitu vinavyohusiana na watu wengine (siyo mambo ya kucheat n.k) bali vijitabia, mazoea, mambo na hata vijimambo ambavyo ni "kero" kama zile "kero za Muungano".

Hapa tunaweza kufundishana maana wengine kuna vitu ambavyo hawajali kabisa na wala hawafikirii kuwa ni "kero"...
umenibamba
 
mimi kero yangu binafsi,ambayo naijua ni kero mno kwa mwingine....

sijali sana 'kupiga piga simu'
niko mvivu mno na 'mazungumzo ya simu'
napenda short and clear....
 
Jamani mimi kero kuu ni simu tu,
una hamu na mtu ye amekazana kuchat tu mara kupokea simu!
Pia kukataa cha asubuhi, huwa natamani kulia ila ndo dah sio ishu sana bado nampenda sana.
 
1. Urafiki wa kinafiki. Mtu hunipendi wala hunifagilii ila unahangaika kunitabasamia...ya kazi gani??Nionyeshe hisia zako za kweli juu yangu and i'll respect you more.

2. Kudanganya vitu visivyo na maana.. hii wote iwe rafiki ama mpenzi.

3. ............................
 
Mambo yanayonikera ni mke wangu amwambie mfanyakazi wa ndani anitengee chakula.

Kusema uongo hata kama ni utani.

Kushikashika simu yangu na kupekua sms.

Kuwaeleza marafiki zake maisha yetu.
 
Back
Top Bottom