jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,782
hii nayo yaweza kuwa hoja
hahahahahahahahaha ni hoja hasa hyo mkuu!
Ndo hvyo unavumilia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii nayo yaweza kuwa hoja
Hili la "nikuulize swali" nadhani comes standard hadi international relationships...
....nikishaona siku hiyo kuna silence isiyo ya kawaida...huwa naanza kujiandaa kupokea hiyo statement!Vipi hii "we need to talk..." Lol
mimi bana nakerwa na 1.umbea-wanawake jamani umbea unakeraaaaaaa,mmesikia? 2.shopping-siendagi na mwanamke dukani mimi wala sokoni.Kitu cha kuchagua dakika tano mkaondoka mwanamke mwaka,kha! 3.maamuzi-be decisive bana,yaani hata vitu vidogo huamui mpaka nikwambie? hicho kichwa cha kazi gani? 4.kunisafisha-nikimaliza kula mzigo kwa nini usilete maji ya vuguvugu na kitambaa ukanisafisha,mpaka niende mwenyewe bafuni? ebo! hii thread imeniamsha kahasira flan,ntarudi.
Vipi hii "we need to talk..." Lol
Bombu,Bebii mnafahamiana?hiyo namba nne hiyo, Lol.
umenichekesha kweli
kwa hiyo wewe ukimaliza puu!
unataka akusafishe,
Mwambie bwanaaa, asipobadilika piga chini, njoo huku ntakusafisha vizuri, lol
Bombu,Bebii mnafahamiana?
kero ni nyingi zingine ni vigumu hata kuelezea...na binadamu huwezi kumkuta yuko perfect kwamba hana kitu kinachokukera
kutumia toilet umetoka baa halafu huflash aaarrrgh inaboa sana maana mnakuwa kma mmelala kiwanda cha kutengenezea pombetole mfano kidogo
Dena si ulisema uko singo?
Lini mtoto mmbea wewe
kukuambia anakitu anataka kukuambia halafu anapotezakwangu ni kero kubwa..
Kuuliza uliza maswali yenye majibu' sjui hizi sim niweke hapa eee? Ndo tunaenda kuoga wife?. .....na kingine kutoa hadith kwa mafungu' labda tuseme anasema aisee wife leo nimepata bonge la zali? Unauliza kwa shauku ehe lipi ilo? Unaambiwa tulia kwanza afu anaanza kuongea na kid! Baadae anasema ehe nliishia wapi vile? Khaaaaa nachoka kabisa.
Tabia ya mwanaume kununa bila sababu inanikera sana anatoka huko kaudhiwa hasira zote zinaishia kwangu nachukia basi tu