Vitu viwili ambavyo Messi hawezi kufanya but CR7 anavifanya!

Mmmh! Ya kweli hayo?! Nakumbuka lile goli lake dhidi ya timu fulani, kwenye final ya UEFA ilikuwa Wembley (?) Mechi ambayo babu mmoja hivi alipatwa na kifafa cha viungo vya mwili!
 
Tofauti kati ya MESSI na RONALDO:::::

1)MESSI anakipiga barca RONALDO
anakipiga MADRID

2)MESSI hajawahi kulipa kodi tokea
2007 RONALDO analipa kodi

3)MESSI amestaafu timu ya taifa akiwa na umri wa miaka 28 na
siku 359, RONALDO bado anaichezea timu
ya taifa wakat ana miaka 31.

4) MESSI ameifungia timu ya taifa
magoli mingi kuliko mchezaji yeyote
Dunian,RONALDO ameshiriki EURO mara nying zaidi.

5)MESSI anamke, RONALDO
ana Hawara.

6)MESSI hajawahi kupata skendo ya
ushoga,RONALDO ishawahi kumuandama.

7)MESSI ni mfupi,RONALDO ni mrefu
 
Mmmh! Ya kweli hayo?! Nakumbuka lile goli lake dhidi ya timu fulani, kwenye final ya UEFA ilikuwa Wembley (?) Mechi ambayo babu mmoja hivi alipatwa na kifafa cha viungo vya mwili!
Alipiga free header mkuu, mabeki walimsahau mpira ukamkuta kichwani, akaelekeza kichwa golini.
 
Alipiga free header mkuu, mabeki walimsahau mpira ukamkuta kichwani, akaelekeza kichwa golini.
Mkuu sijakuelewa mpira 'ukamkuta kichwani' kivipi?! Uliliona lile goli aliloruka 'akaganda' hewani?
 
Hahaaa mkuu Jambazi, hiyo namba 2 kama sikosei alidaiwa kutolipa kodi kwa kipindi cha kati ya 2007 hadi 2009.
 
8) Ronaldo ni mke wa mtu na Messi ni mume wa mtu.....
 
Messi ameifungia timu ya taifa magoli mengi kuliko mchezaji yoyote yule duniani????
Umeitoa wapi hii chai?
 
Sasa mashabiki wake wanasema ni wa sayari nyingine nadhani atakuwa analipa kodi huko kwao penye hiyo sayari isiyo na jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…