Vitu viwili ambavyo Messi hawezi kufanya but CR7 anavifanya!

Vitu viwili ambavyo Messi hawezi kufanya but CR7 anavifanya!

Huwa najiulizaga sana kuwa kwanini wanawake wanawapenda sana wanaume mashoga....!!!
c678e33940606e1c43b7517aec16f8b0.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukweli mchungu
 
Hihihihiii
Umetoa Dumbest comment ever
Hizo bro zinatwa youths cups,siyo major trophy, ki ufupi haja weza kushinda na timu yake ya taifa chochote

Jamaa ka chocke kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwani youth cup sio kombe AU ANGECHUKUA MMOROCCO ndio kombe ila akitwaa KING inaonekana sio kombe
 
Mmmh! Ya kweli hayo?! Nakumbuka lile goli lake dhidi ya timu fulani, kwenye final ya UEFA ilikuwa Wembley (?) Mechi ambayo babu mmoja hivi alipatwa na kifafa cha viungo vya mwili!

magoli zaid ya 300 linakumbukwa hilo moja tu halafu haikuwa wembley cr7 anapga sna tu
 
Tofauti kati ya MESSI na RONALDO:::::

1)MESSI anakipiga barca RONALDO
anakipiga MADRID

2)MESSI hajawahi kulipa kodi tokea
2007 RONALDO analipa kodi

3)MESSI amestaafu timu ya taifa akiwa na umri wa miaka 28 na
siku 359, RONALDO bado anaichezea timu
ya taifa wakat ana miaka 31.

4) MESSI ameifungia timu ya taifa
magoli mingi kuliko mchezaji yeyote
Dunian,RONALDO ameshiriki EURO mara nying zaidi.

5)MESSI anamke, RONALDO
ana Hawara.

6)MESSI hajawahi kupata skendo ya
ushoga,RONALDO ishawahi kumuandama.

7)MESSI ni mfupi,RONALDO ni mrefu
Stupid
 
Ni ukweli kimafanikio ya kimpira Ronaldo ana cha kujivunia tofauti na mess na nadhani anguko la mess kwenye team ya taifa linazungumziwa zaidi sababu ameshindwa kuisaidia team yake ya taifa japo amezungukwa na masuper star tofauti na tonaldo
 
magoli zaid ya 300 linakumbukwa hilo moja tu halafu haikuwa wembley cr7 anapga sna tu
Mkuu, umeielewa mada?!
Mada imesema hawezi kufanya. Mimi nimeonyesha ushahidi kuwa ameshafanya hicho ambacho tunadanganywa kuwa hawezi kufanya, tatizo liko wapi?!

Halafu kuhusu Wembley, nimeweka hii...(?), unaelewa maana yake?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwani youth cup sio kombe AU ANGECHUKUA MMOROCCO ndio kombe ila akitwaa KING inaonekana sio kombe
Sasa kama hujui maana ya major trophy sijui nkusaidiaje
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu, umeielewa mada?!
Mada imesema hawezi kufanya. Mimi nimeonyesha ushahidi kuwa ameshafanya hicho ambacho tunadanganywa kuwa hawezi kufanya, tatizo liko wapi?!

Halafu kuhusu Wembley, nimeweka hii...(?), unaelewa maana yake?

mi nimekuelewa wanachosema hawez wana maanisha sio kitu endelevu alibahatika ila sio vitu alivyonavyo na ndo mana hajarudia hapo kwa wembley bora usingeandika mkuu kwa kuwa hujui huna haja ya kupost kitu kwa kubahatisha.
 
Hii mijadala ya messi na Ronaldo imezidi sana hapa jukwaani. Mimi nadhani tukubaliane kutokubaliana kila mmoja ni mkali na kamzidi mwenzake kwa vitu vidogo vidogo.

Kwenye skills mi nadhani ronaldo ana 55% wakati messi ana 45%.
Kwenye mbio. Ronaldo 55 kwa 45% za messi. Kuisaidia timu messi hapa yupo juu. Ana 60 kwa 40 za cr7.

Kufunga mimi nadhani hapa 50/50.
Nidhamu uwanjani na nje ya uwanja. MESSI hapa ana 80 kwa 20 za ronaldo. Kwa sasa, kwa maana ya kama miaka mowili iliyopita, christiano yupo on fire kuliko Messi.

Ukija kwa ujumla tangu kuanza kucheza mpira Messi amemzidi ronaldo kwa % chache sana.
 
mi nimekuelewa wanachosema hawez wana maanisha sio kitu endelevu alibahatika ila sio vitu alivyonavyo na ndo mana hajarudia hapo kwa wembley bora usingeandika mkuu kwa kuwa hujui huna haja ya kupost kitu kwa kubahatisha.
Mkuu, jitahidi sana unapojadili na mtu ujue anajadili kistaarabu, anabisha au anapitisha muda tu! Unawezaje kuniambia kuwa kama sijui sina haja ya kupost wakati tangu post yangu ya kwanza nimeweka alama hii (?) ??? Ndo maana nilikuuliza unaelewa mtu akikuwekea hiyo alama? Na ajabu wakati huohuo unadai Messi kafunga magoli 300, na kuwa hilo la kichwa nililotaja 'alibahatika na ndo maana hajarudia'
Mkuu, kama una nia ya kujadili ukweli chukua hii hapa: Kufikia Jumapili ya tarehe 17 April 2016 baada ya mechi na Valencia, Messi alikuwa amefunga magoli 500 na kati ya hayo 21 kwa kichwa. Sasa wewe unayeniambia 'kwa kuwa sijui sina haja ya kupost' ungeonyesha wewe huo mfano kwa kutopost uongo kuhusu magoli 300 na kuwa 'hajarudia'
 
pamoja sana mess anajua mkuu hakuna wa kumfikia kwa sasa kwa takwimu hizo nashukuru kwa kunielewesha mkuu.
 
mess ameshinda kombe gani kweli akiwa na arigentae???

Ivi wewe ni kabila gani???

ARIGENTAE ndio nini sasa? Au hujui mpira unajilazimisha kupost tu?

Ingia youtube uone mfalme alivyofanya huko holland..

FIFA U-20 World Cup
Winner 2005 Netherlands

Olympic Games
Gold medal – first place 2008 Beijing
FIFA World Cup
 
Back
Top Bottom