Vitu viwili ambavyo Messi hawezi kufanya but CR7 anavifanya!


huyo ni jaluo
 
Hihihihiii
Umetoa Dumbest comment ever
Hizo bro zinatwa youths cups,siyo major trophy, ki ufupi haja weza kushinda na timu yake ya taifa chochote

Jamaa ka chocke kweli

Timu yake ya taifa ipi sasa? Au unamaanisha Barca ndio timu ya taifa? Eleweka
 
Japo naipenda France lakini jana nilifurahi kwa ajili ya Ronaldo.
Team Messi hoiiiiiii [emoji6][emoji6][emoji6]

Nifah naona umemfurahia kinoma panadol tudokeze basii eee kulikoni?😀
 

Mkuu wewe ndiye ulitakiwa ulete thread humu na si yule aliye-ianzisha kaboronga kwelikweli! Hii uloitoa ndio ulitakiwa uilete humu... waabeja saana nkoi,
 
Ni ukweli kimafanikio ya kimpira Ronaldo ana cha kujivunia tofauti na mess na nadhani anguko la mess kwenye team ya taifa linazungumziwa zaidi sababu ameshindwa kuisaidia team yake ya taifa japo amezungukwa na masuper star tofauti na tonaldo
Tonaldo????
Tonaldo=Ronaldo
 
Timu yake ya taifa ipi sasa? Au unamaanisha Barca ndio timu ya taifa? Eleweka
Timu ya taifa ya Argentina inaitwa, La Albiceleste (The White and Sky Blue) tena wewe mwnyewe ulikuwa unaitaja hapa, Mashindano ya vijana hayahesabiki kama major trophy hayo ndo hadi Nigeria huwa wana chukua

Ebu mkajipange ki ufupi bhana Missi asha fulia
 

Unashindana na mimi nilieanza kungalia mpira kabla yako! Angalia alaf niijie tena,, timu kubwa na na ya U-20 huwa linatumika nickname moja tu..nadhani umenipata mpaka hapo! Cheki hspa

Argentina national under-20 football team

Argentina Under-20
Nickname(s) Albicelestes
(White and Sky blue)
Association Argentine Football Association
Confederation CONMEBOL (South America)
Head coach Humberto Grondona
Captain Emanuel Mammana
FIFA code ARG


Honours, Angalia hapa Argentina imebeba makombe

FIFA U-20 World Cup (6): mara sita
1979, 1995, 1997, 2001, 2005, 2007

South American Youth U-20 (5):mara tano
1967, 1997, 1999, 2003, 2015


Kama huamini ingia hapa
Argentina national under-20 football team - Wikipedia, the free encyclopedia
 
"La Selección (national team), also known as the Albicelestes (sky blue and whites), has appeared in five World Cup finals, including the first final in 1930 , which they lost 4–2 to
Uruguay. Argentina won in their next final appearance in 1978 , beating the
Netherlands at extra time, 3–1. Argentina........",(Wikepedia)

Naongelea hiyo na ukisoma kwenye website ndo ukiongelea timu ya taifa ndo hiyooo, sasa sijajua kama umeona under 20 imeandikwa hapo
 
Nilichokutumia sijui kama umekisoma ukakielewa? Nimekurushia pia na link ili usinione nimekuingiza town...bonyeza hiyo link utaona full details
 
Sikukatalii kuwa Argentina inayojulikana big team ni ya akina Messi...hii inayoshiriki kule brasil ni U23 ya Akina Dybala,Lcardi,maidana nk. Hata baadhi yao kwenye big team waliitwa copa america lkn walikuwa Sub, mfano yule "maidana black"utamuona kwenye olympic, ndiye alikuwa sub wa otamendi kama sikosei kwenye copa america na wengineo kibao tu.
 
messi ni mchezaji bora wa dunia mara tano..ronaldo mara tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…