Vitu hivi ni muhimu na kama mtu ukivishika utadumu katika mahusiano kwa muda mrefu sana
1.(KWA WANAUME) mwanamke anahitaji kuoneshwa kuwa anapendwa ukimwonesha hivyo kuwa unapenda basi hanaujanja tena
2. (KWA WANAWAKE) mwanaume anahitaji kuoneshwa kuwa unamuheshimu kwa kufuata mnavyo panga kwa pamoja ukiweza hana tena ujanja
Kweli upendo na heshima ndio msingi wa ndoa yenye mafanikio. Lakini heshima na upendo sio sifa za kugawana kati ya mke na mme. Wote wawili wanapaswa kupendana na kuheshimiana.