Vitu viwili muhimu katika mahusiano kwa mwanamke na mwanaume ili yadumu kwa muda mrefu

Vitu viwili muhimu katika mahusiano kwa mwanamke na mwanaume ili yadumu kwa muda mrefu

Alagwa

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
96
Reaction score
88
Vitu hivi ni muhimu na kama mtu ukivishika utadumu katika mahusiano kwa muda mrefu sana
1.(KWA WANAUME) mwanamke anahitaji kuoneshwa kuwa anapendwa ukimwonesha hivyo kuwa unapenda basi hanaujanja tena
2. (KWA WANAWAKE) mwanaume anahitaji kuoneshwa kuwa unamuheshimu kwa kufuata mnavyo panga kwa pamoja ukiweza hana tena ujanja
 
Kweli upendo na heshima ndio msingi wa ndoa yenye mafanikio. Lakini heshima na upendo sio sifa za kugawana kati ya mke na mme. Wote wawili wanapaswa kupendana na kuheshimiana.
 
ni kweli kabisa,wadada/wamama wakipendwa wanasahau hata umaskini kwenye ndoa
 
Kweli ,ila haya mambo mm naona balaa. Tu ,tunafanya vyote hivyo kujitolea. Kwa wapenzi wetu,ila tunaambukia to get hurt ,tafran time tu
 
Hivi kupenda ndio unajali? au unaweza ukampenda lakini usimjali?
 
nadhani kumjari mpenzi wako ndio kila kitu.
 
Yah!Lakini u have to do better than that!
 
Back
Top Bottom