Vitu viwili tu vinavyoongea

Vitu viwili tu vinavyoongea

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Ulimwengu umegawanyika pande mbili, upande wa nuru na upande wa giza.

Pia ulimwengu umegawanyika katika upande wa mwili na upande wa roho.

Ulimwenguni kuna vitu viwili tu vinavyo ongea. Ukienda kwenye ulimwengu wa roho, ambao umegawika kati ya nuru na giza, huko lugha yake kuu ni damu. DAMU inaongea.

Usishangae matajiri wakubwa kila ijumaa wanachinja mbuzi na kondoo, kisha nyama wanagawa wala hawaili, wanachokuwa wanakutaka ni damu.

Kwanini wanataka damu, wanataka damu inene kwenye biashara zao. Damu iongee mafanikio kwenye shughuli zao. Damu, damu, damu.

Pia kwenye ulimwengu wa mwili kinachoongea zaidi ni pesa. Ili usafiri unahitaji pesa. Hospitalini inatakiwa pesa, ukiwa na sura bovu ila una pesa utaonekana handsome.

Magari mazuri yananunuliwa kwa pesa, kama huna pesa Masaki utakuwa mlinzi au mpishi, huwezi kuishi kule kama huna pesa.

Hivyo ndivyo vitu viwili vinavyoongea
 
Ulimwengu wa roho unaendeshwa kwa matamshi

Imeandikwa; “Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.”(Waebrania 11:3). Ukisoma maandiko haya kwa makini utagundua kwamba, Mungu aliumba ulimwengu wa roho kwa neno lake, yaani kwa kutamka, na ulimwengu wa roho ukauzaa ulimwengu wa mwili. Biblia inasema, Roho ya Mungu ilipotulia juu uso wa maji, Mungu akasema na iwe nuru na ikawa. Sasa kwa wewe uliyeokoka ndani yako kuna nguvu ile ile iliyokuwa imetulia juu ya uso wa maji, chochote unachotamka kinakuwa. Kwa mfano soma Mwanzo 1:11-12.

Ulimi umebeba nguvu za ajabu sana, ndio maana Biblia inatuonya sana kwamba imetupasa kuwa makini sana na matumizi ya ulimi. Biblia Inasema hivi; “Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema Bwana; nami nitamponya.”(Isaya 57:19), naamini unajua kwamba kinachozaliwa kutoka kwenye midomo yetu (matunda) ni maneno yetu, Mungu anasema anayaumba bila kujali ni mema au mabaya. Hii ni kanuni inayotawala katika ulimwengu wa roho, chochote unachokisema kinaumbika, kuwa makini na maneno yako,

Ulimi ni moto, maandiko yanasema katika Yakobo 3:1-12, ulimi unawakilisha uwezo wetu wa kuzungumza. Kama moto maneno yetu yana uwezo wa kusababisha madhara makubwa, Biblia Inasema, mauti na uzima viko katika nguvu ya ulimi soma Mithali 18:21. Kwenye mdomo wako yanaweza kutoka maneno ya kutia uzima au ya kuua. Inategemea na uelewa wako kuhusu nguvu iliyopo kwenye ulimi wako. Silaha kubwa na ya mabadiliko hasi ama chanya kwenye ulimwengu wa roho ni maneno yako. Kwa maneno yako unaweza kutengeneza maisha na kwa maneno yako unaweza kuharibu maisha yako na ya wale unaowatamkia. Maneno mazuri yana nguvu za uumbaji na maneno mabaya ni kama silaha za maangamizi.

Nguvu ya Mungu katika kinywa chako

Kwa nini maneno yako yana nguvu? ni kwa sababu umeumbwa kwa sura na kwa mfano wa Mungu, alivyo yeye ndivyo ulivyo wewe hapa duniani, imeandikwa; “Katika hili pendo limekamilishwa kwetu, ili tuwe na ujasiri katika siku ya hukumu; kwa kuwa, kama yeye alivyo, ndivyo tulivyo na sisi ulimwenguni humu.” (1 Yohana 4:17), aliumba vyote kwa neno, alitamka na ikawa, na ameweka uwezo na asili yake hiyo ndani yako na ndani yangu, ukisoma Zaburi 82:6, imeandikwa; “Mimi nimesema, Ndinyi miungu, Na wana wa Aliye juu, nyote pia”, soma pia Yohana 10:33-36.

Tena kwa hayo ametukirimia ahadi kubwa mno, za thamani, ili kwamba kwa hizo mpate kuwa washirika wa tabia ya Uungu, mkiokolewa na uharibifu uliomo duniani kwa sababu ya tamaa. (2 Petro 1:4). Ulipompokea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako ulipewa uwezo wa kufanyika kuwa mtoto wa Mungu soma Yohana 1:12, pia ulipewa fursa ya kushirikishwa tabia za kiungu, mtoto wa nyoka ni nyoka.

Ezekieli alipoonyeshwa lile bonde la mifupa mikavu, kwa macho ya damu na nyama aliona haiwezekani kwa ile mifupa mikavu kuwa na uhai tena, lakini Mungu akamwambia itabirie hii mifupa mikavu ipate Kuishi.

Ndipo Ezekieli akatambua nguvu iliyopo katika kinywa chake, akaanza kutoa unabii na kuitabiria ile mifupa, akaiambia, “enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA, BWANA MUNGU aimbia mifupa hii maneno haya; Tazama nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. Nami nitatia mishipa juu yenu, name nitaleta nyama iwe juu yenu, na kuwafunika ngozi, nanyi mtaishi”, unaweza kuisoma habari hii kwa kina katika kitabu cha Ezekieli 37:1-10.

Katika maandiko haya tunajifunza namna Ezekieli alivyoweza kutumia nguvu na uweza wa Mungu uliopo katika kinywa chake na kuweza kuleta uhai tena. Ndugu yako katika Bwana, wewe ni mwana wa Mungu, nini kimekuwa ni mifupa mikavu kwako? Ni ndoa, uchumi, huduma, watoto, afya, elimu, au mahusiano? Acha kulalamika, simama na uvitabirie kuna nguvu katika kutamka. Nguvu na mamlaka ya Mungu ziko juu yako badilisha yale yote unayo yaona yameshindikana, lazima kieleweke katika jina la Yesu. “Yesu akawaambia, Kwa sababu ya upungufu wa imani yenu. Kwa maana, amin, nawaambia, Mkiwa na imani kiasi cha punje ya haradali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa uende kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.” (Mathayo 17:20)

Yesu alionesha namna kinywa kinavyoweza kubadili mambo

Imeandikwa; “Hata asubuhi yake walipotoka Bethania aliona njaa. Akaona kwa mbali mtini wenye majani, akaenda ili labda aone kitu juu yake; na alipoufikilia hakuona kitu ila majani; maana si wakati wa tini. Akajibu, akauambia, Tangu leo hata milele mtu asile matunda kwako. Wanafunzi wake wakasikia…Na kulipokuwa jioni alitoka mjini. Na asubuhi walipokuwa wakipita, waliuona ule mtini umenyauka toka shinani. Petro akakumbuka habari yake, akamwambia, Rabi, tazama, mtini ulioulaani umenyauka. Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu. Amin, nawaambia, Ye yote atakayeuambia mlima huu, Ng'oka ukatupwe baharini, wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake.Kwa sababu hiyo nawaambia, Yo yote myaombayo mkisali, aminini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu.”(Marko 11:12-14, 19-24)

Kitabu cha Marko sura ya 11 aya ya 24 inaanza kwa kusema hivi “kwa sababu hiyo nawaambia” hii inaashiria kuwa kuna mahusiano katika ya aya ya 23 na 24, kuna kitu Kristo alikuwa anakizungumzia hapa, kwa sababu aya 24 inazungumza kwa habari ya maombi bila shaka aya ya 23 inazungumza pia kwa habari ya maombi, kilichonishangaza zaidi aya ya 23 haionekani kuzungumzia maombi ya kawaida, maombi haya hayaelekezwi kwa Mungu “Ee Mungu Baba uondoe mlima huu na ukatupwe baharini” badala yake Biblia inasema, “Ye yote atakayeuambia mlima huu, ng’oka ukatupwe baharini wala asione shaka moyoni mwake, ila aamini kwamba hayo asemayo yametukia, yatakuwa yake”

Nilipata shida sana kuelewa kitu hiki hapo awali, nilitegemea kuona Yesu akisema “Ee Mungu Baba nakusihi uondoe mlima huu ukatupwe baharini” Si ndio, lakini Yesu akafundisha kitu tofauti kabisa, hakusema tumwambie Mungu, lakini tuuambie, tuzungumze na mlima moja kwa moja “ng‟oka ukatupwe baharini” unaweza kudhani kuwa haya sio maombi lakini aya ya 24 inatuhakikishia kuwa haya yalikuwa ni maombi.

Hapa mwamini hamwombi Mungu afanye kitu fulani, Si jambo la kusema, “Bwana, tafadhali uje unisaidie.” Ngoja nirudie tena sehemu hii. Hatuna haja ya kumwita Bwana ashuke na kutenda kile ambacho tunamwomba bali mwamini anatumia mamlaka aliyopewa na Mungu kupambana na tatizo au kizuizi moja kwa moja, ndio maana nasema haya si maombi ya kawaida haya ni maombi ya kimamlaka. Ili kulielewa hili ni lazima kwanza mtu aelewe uhusiano uliopo kati ya maombi, mamlaka na nguvu. Milima inawakilisha ugumu wowote anaokutana nao mwamini katika safari yake ya wokovu, safari ya kuelekea Yerusalemu mpya. Hapa mwamini anasima imara.

Huwa unakiri nini?

haijalishi unapitia magumu kiasi gani, unachotakiwa ni kubadilisha kukiri kwako, kadiri unavyotamka kinyume na mazingira yanayoonekana, kuna kitu kinafanyika katika ulimwengu wa roho, hata kama wewe ni magonjwa sema mimi ni mzima katika jina la Yesu, Biblia inasema, aliye dhaifu na aseme, Mimi ni hodari, soma Yoeli 3:10. Ukikiri mabaya, kushindwa, kutokufanikiwa, sekunde ile ile mambo yale yanaumbika katika ulimwengu wa roho, na si muda mrefu utayaona katika ulimwengu wa mwili. Imeandikwa; “Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako” (Mithali 6:2).

Ukikiri maneno mema bila kujali mazingira, unaulazimisha ulimwengu wa roho uumbe mambo hayo, na kwa kweli yatadhihirika katika ulimwengu wa mwili. Imeandikwa; “Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila.” (1 Petro 3:10)

Kwa njia ya maombi unaweza kuingia katika ulimwengu wa roho, na kuleta mabadiliko katika ulimwengu wa mwili, Mgisa Mtebe, anasema, maombi ni namna ya mtu kwenda katika ulimwengu wa roho ili kuwasiliana na Mungu wake, ili kuuathiri ulimwengu wa roho katika namna ambayo italeta mabadiliko katika ulimwengu wa mwili.

Umepewa mamlaka hayo na Bwana Yesu, mamlaka maana yake ni haki ya kisheria inayompa mtu uwezo wa kufanya maamuzi, kutoa amri au kutoa maagizo na kusimamia utii juu ya kile alichokiamua. Kama vile ulimwengu wa mwili unavyoongozwa kwa sheria vile vile ulimwengu wa roho unaongozwa kwa sheria. Unapookoka tu moja ya vitu ambavyo hauhitaji kuomba ili uwe navyo ni mamlaka. Unaposimama kwenye maombi kwa lengo la kutoa maagizo au amri vyombo vya dola vya mbinguni vinahakikisha kuwa amri uliyoitoa inatekelezwa. Ndio maana Biblia Inasema, “Maana ingawa tunaenenda katika mwili, hatufanyi vita kwa jinsi ya mwili; (maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome”. (2 KOR. 10:3-4)

Ubarikiwe
 
We Jemima inaposemwa Mungu aliumba kwa neno hatumaanishi kwamba Mungu alitamka tu kisha vitu vikatokea kama mazingaombwe hell no.

Tunamaanisha kwamba ulimwengu uliumbwa kwa amri ya Mungu yani Mungu alitoa amri kwa malaika wake ifanyike kazi ya uumbaji.

Ni sawa na tunaposema Mkapa alijenga uwanja mpya wa taifa au Magufuli alijenga stendi ya Mbezi hatumaanishi kuwa Mkapa au Magufuli walienda site tu kubeba zege hell no bali Magufuli na Mkapa walitoa amri na fund hivyo vitu vijengwe.

Kama Maneno yanaumba jenga ghorofa kwa Maneno
 
mkuu una lengo kuu la hii thread nn kwanza tuanzia hapo
 
Asante sana kwa ujumbe safi kabisa Jemima Mama Mchungaji.
 
We Jemima inaposemwa Mungu aliumba kwa neno hatumaanishi kwamba Mungu alitamka tu kisha vitu vikatokea kama mazingaombwe hell no.

Tunamaanisha kwamba ulimwengu uliumbwa kwa amri ya Mungu yani Mungu alitoa amri kwa malaika wake ifanyike kazi ya uumbaji.

Ni sawa na tunaposema Mkapa alijenga uwanja mpya wa taifa au Magufuli alijenga stendi ya Mbezi hatumaanishi kuwa Mkapa au Magufuli walienda site tu kubeba zege hell no bali Magufuli na Mkapa walitoa amri na fund hivyo vitu vijengwe.

Kama Maneno yanaumba jenga ghorofa kwa Maneno
OK. Asante sana. Sijui nibishe kwa hoja au nikubaliane na hoja yako? Chagua
 
_20221013_051147.JPG
 
Ata Ibrahim baba wa manabii alitoa sadaka ya damu

Mkuu umeona mbali sana hili Jambo linaukweli kabisa.
 
Sawaa ila kwenye mwili kinachoongea ni Mdomo na Kijambio tuu.
 
Back
Top Bottom