Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa tuishi kwa amani na umoja hata kabla ya Uhuru.Kwani yeye alikuta mapigano ya kikabila?
Nimekupenda bure Nifah. Kweli Muammar alikua mwanaume na kiongozi wa kweli. Huwa nairudia kuisoma mara kwa mara hotuba yake ya mwisho kabla ya umauti haujamkuta. Kwa kweli huwa natokwa na machozi.Namkubali Muammar Gaddafi
Allah ampe Jannat Firdaus
Amiin.
Kama unavyosema Castrol ni issue nyingine. NI vigumu kusema kuwa Castrol in dikteta, tabia moja wapo ya madikteta ni kujilimbikizia mali na kutumia mamlaka walio nayo kwa faida yao. Wengi huwa wakiishi kama Mungu watu na kutumia njia mbali mbali kujaribu kuwaaminisha wananchi wao uhalali wa utawala wao. Ushahidi uliopo hata kwa kutumia vyombo vya habari vya maadui wake vinasema wazi kuwa Castrol hajajilimbikizia mali wala kutumia rasilimali ya taifa kwa manufaa yake. Ni kweli hakujawahi kuwa na uchaguzi Cuba, si yeye Fidel au mrithi wake Raul walichagulia kwa kura. Unaweza sema huo ni udikiteta. Wengi wanasema wakati akiwa Rais, Castrol alikuwa anatawala kila Nyanja na sekta katika maisha ya Cuba. Nchi ya Cuba ni nchi ya kimapinduzi na hawajawahi ficha hilo. Walitekeleza mapinduzi ndani ya Cuba tena mapinduzi ya Kijamaa na waliamini katika mapinduzi na walisaidia nchi au binadamu yo yote aliyekuwa katika harakati ya kuleta mapinduzi popote duniani. Cuba iko maili 90 tu kutoka Marekani nchi yenye nguvu kuliko zote duniani na yenye siasa za kibepari. Bila ulinzi madhubuti Mapinduzi ya Cuba yasingedumu kamwe. Katika hali kama hiyo isingewezakana kabisa kuwa na mfumo wa demokrasia Cuba. Castrol ameweka misingi mizuri sana Cuba kiasi hata haya mabadiriko yanayokuja sasa yataleta faida sana Cuba kwa kuwa Wa Cuba wana elimu sana na huduma nyingine za jamii ziko Zaidi hata ya nchi zilizoendelea hususani kwenye Nyanja ya huduma za afya. Dalili zote zinaonyesha Cuba itafanikiwa na mabadiriko kama China ilivyofanikiwa. Fidel alikuwa kiongozi mwenye kufuata kanuni sana haswa katika suala la kupinga kuonewa. Alipoulizwa jambo gani alilolifanya katika uongozi wake ambalo anajivunia Zaidi alitaja msaada wake katika kupambana na majeshi ya uvamizi ya makaburu Angola kama ndio jambo lililotukuka Zaidi ya yote. Afrika inatakiwa ijue vizuri mchango wa Cuba katika ukombozi wa kusini mwa Afrika. Majeshi ya Cuba Angola yalibadidirisha kabisa mizani ya nguvu za kijeshi kusini mwa Afrika. Jeshi la Afrika Kusini ya makaburu halikuwahi kushindwa hata siku moja kwenye uwanja wa vita mpaka pale lilipopaka pigo kule kusini mwa Angola kwenye mapambano ya Cuito Cuanavale mwaka 1986. Makaburu walikimbizwa mpaka Namibia, Angola kwa mara ya kwanza tangu Uhuru wake wakawa hawana majeshi ya uvamizi kwenye ardhi yao, uhuru wa Namibia ukapatika, na ajenda ya haki za mtu mweusi ndani ya Afrika Kusini zikaanza kusikilizwa ndani ya chama cha wazungu kilichokuwa kinatawala wakati huo. Ndipo vyama vya siasa vya watu weusi kuruhusiwa na wapigania uhuru kama wakina Mandela kuachiwa huru. Cuba ilitoa msaada wa wanajeshi na vifaa vya kivita zikiwemo ndege, vifaru na makombora ya kisasa kabisa ya kutungulia ndege ilikufanikisha adhma ya kumtoa kaburu na kumfunndisha adabu pale Angola. Na Cuba haikulipwa kitu, ilisaidia katika misingi ya kibinadamu. Tunaweza sema mengi sana hapa, lakini naamini historia itakuja kutuambia kama tunaweza kumweka Fidel Castrol kwenye kundi la madikteta au la...!!!
Inapokuja kwenye suala la wale Wa Cuba walikimbilia Miami, USA, hakuna MCuba alielazimishwa kwenda serikali ya Marekani katika kuikomoa Cuba ilitangaza kuwapa haki za ukimbiza haraka sana Wa Cuba wote wanaoikimbia nchi yao. Wananchi wengine wa Cuba wakata kuondoka Castrol akasema anaetaka kwenda na aende na wapo wengi waliokuwa magerezani waliotaka kwenda wakaruhusiwa kwenda kwa HIYARI YAO wala si kwa kulazimishwa. Haya wanayasema wenyewe Wa Cuba waliokimbia Cuba ambao kwa sasa wanaishi Marekani.
Kulingana na utafiti wa shirika moja la masoko uingereza, Uganda is the most entrepreneurial country in the world. Yaani asilimia 28% waganda watu wazima wamejiajili kwenye kilimo,biashara na viwanda vidogovidogo idadi ambayo dunia nzima hakuna nchi yenye wajasiliamali watu wasima wenye ration hiyo. Hii inaweza kutushawishi kuwa wazo la idd amin la nationalization miaka ya sabini liliacha mbegu kwa wananchi wake wafikili kujiajiri zaidi kuliko kusubiri kuajiliwa. Kitu kungine ambacho huwa sielewi kwa nini Watanzania Tunakimbilia Uganda kununua vitu kwa bei nafuu wakati wao hawana bandari na sisi tuko na pwani tulitegemea kwao vitu viwe ghali zaidi?Idi Amin alifukuza wahindi alipokuwa madarakani leo hii biashara zote kubwa Uganda zimeshikwa na waganda akiwemo Mganda aliyetaka kununua timu ya Leeds ya Uingereza
1. atunga shria kuwa wanaume na wanawake wenye umri kati ya 18-55 walipaswa kutoa ushahidi kuwa wanakazi ya kufanya kinyume cha hapo ni kifungo au fine, so kila mtu alijishughulisha.Vipi Bokasa
Humpendi kuliko mimi mkuu.Nimekupenda bure Nifah. Kweli Muammar alikua mwanaume na kiongozi wa kweli. Huwa nairudia kuisoma mara kwa mara hotuba yake ya mwisho kabla ya umauti haujamkuta. Kwa kweli huwa natokwa na machozi.
Maneno yako yamenipa uchungu sana, na furaha kwa wakati mmoja.
Humpendi kuliko mimi mkuu.
Nampenda kuliko unavyoweza kufikiri.
Sitaki kukumbuka siku aliyouawa,nililia mnoooo!
Ilikuwa wiki ya maombolezo kwangu.
Kipindi kile zilitoka CD zake kabla hajauawa,Wallah niliumia mno,mno![emoji24][emoji24][emoji24]
Naikumbuka hiyo hotuba,alitaka kuiunganisha Afrika na kuwa kitu kimoja.
Kama unafikiri wewe hulia peke yako sivyo,nami nimo tena kukuzidi.
Maneno ambayo hunichoma zaidi ni pale anaposema (Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi)
"Mwanangu niliyemlelea mwenyewe leo hii anataka kuniua (Obama)"
Tokea Nisome hotuba ile nilitokea kumchukia sana Obama...
Naomba niishie hapa mkuu,machozi yameanza kunilenga lenga. [emoji29]
Mataifa mengi yalipeka watu wao wakasome Cuba,ahsante sana Cuba chini ya Fidel Castro.Castro ni controversial pande mbili zote ni sawa, Dicteta au mkombozi wa wanyonge.
Ikumbukwe baada ya kumpindua kijeshi Fulgensio Batista 1959 Hakuwahi kuchaguliwa hadi alipomkabidhi ndugu yake madaraka. Magazeti yaliyopimpinga yalipigwa marufuku, hakuna kudai haki, maelfu ya wacuba walikimbilia frolida na miami us. Mfano mwaka 1980 aliwaita waje kuchukua ndugu zao, meli liyowaleta cuba wakati wa kurudi castro aliwajaza wagonjwa wa akili, wafungwa, watu wenye matatizo katika jamii akawajumuisha na ndgu zao wote wakapelekwa US bila hiyari yao.
Pamoja na Yote Africa na dunia kwa ujumla haiwezi kubeza mchango wa castro. Huyu ni kipaji cha aina yake.
Kodi yao ipo chini, Na vitu vyenyewe vinapita ama Mombasa au Dar ila ni nafuuKulingana na utafiti wa shirika moja la masoko uingereza, Uganda is the most entrepreneurial country in the world. Yaani asilimia 28% waganda watu wazima wamejiajili kwenye kilimo,biashara na viwanda vidogovidogo idadi ambayo dunia nzima hakuna nchi yenye wajasiliamali watu wasima wenye ration hiyo. Hii inaweza kutushawishi kuwa wazo la idd amin la nationalization miaka ya sabini liliacha mbegu kwa wananchi wake wafikili kujiajiri zaidi kuliko kusubiri kuajiliwa. Kitu kungine ambacho huwa sielewi kwa nini Watanzania Tunakimbilia Uganda kununua vitu kwa bei nafuu wakati wao hawana bandari na sisi tuko na pwani tulitegemea kwao vitu viwe ghali zaidi?
Huwa nashangaa sana kijana wa kitanzania anashindwa ata kurudisha akili kidogo nyuma uyo ghadaf na amini ndio walioteketeza roho za makamanda wetu kagera and they died for us, leo ww kwa maslah sijui ya nini unawaona bora kuliko watu wa nchi yako kwel nimeamin mtu mweusi anahitaj tena kutawaliwaMBONA IDI AMINI HAYUPO HAPA
KWANI UGOMZI MKUU,MBONA UNAUMWA SANA,MIE NIMEULIZA TU KANI NA YEYE SI ALIKUWA DIKTETA ?Huwa nashangaa sana kijana wa kitanzania anashindwa ata kurudisha akili kidogo nyuma uyo ghadaf na amini ndio walioteketeza roho za makamanda wetu kagera and they died for us, leo ww kwa maslah sijui ya nini unawaona bora kuliko watu wa nchi yako kwel nimeamin mtu mweusi anahitaj tena kutawaliwa
Ahsante mkuu.... umenena vyema...Kama unavyosema Castrol ni issue nyingine. NI vigumu kusema kuwa Castrol in dikteta, tabia moja wapo ya madikteta ni kujilimbikizia mali na kutumia mamlaka walio nayo kwa faida yao. Wengi huwa wakiishi kama Mungu watu na kutumia njia mbali mbali kujaribu kuwaaminisha wananchi wao uhalali wa utawala wao. Ushahidi uliopo hata kwa kutumia vyombo vya habari vya maadui wake vinasema wazi kuwa Castrol hajajilimbikizia mali wala kutumia rasilimali ya taifa kwa manufaa yake. Ni kweli hakujawahi kuwa na uchaguzi Cuba, si yeye Fidel au mrithi wake Raul walichagulia kwa kura. Unaweza sema huo ni udikiteta. Wengi wanasema wakati akiwa Rais, Castrol alikuwa anatawala kila Nyanja na sekta katika maisha ya Cuba. Nchi ya Cuba ni nchi ya kimapinduzi na hawajawahi ficha hilo. Walitekeleza mapinduzi ndani ya Cuba tena mapinduzi ya Kijamaa na waliamini katika mapinduzi na walisaidia nchi au binadamu yo yote aliyekuwa katika harakati ya kuleta mapinduzi popote duniani. Cuba iko maili 90 tu kutoka Marekani nchi yenye nguvu kuliko zote duniani na yenye siasa za kibepari. Bila ulinzi madhubuti Mapinduzi ya Cuba yasingedumu kamwe. Katika hali kama hiyo isingewezakana kabisa kuwa na mfumo wa demokrasia Cuba. Castrol ameweka misingi mizuri sana Cuba kiasi hata haya mabadiriko yanayokuja sasa yataleta faida sana Cuba kwa kuwa Wa Cuba wana elimu sana na huduma nyingine za jamii ziko Zaidi hata ya nchi zilizoendelea hususani kwenye Nyanja ya huduma za afya. Dalili zote zinaonyesha Cuba itafanikiwa na mabadiriko kama China ilivyofanikiwa. Fidel alikuwa kiongozi mwenye kufuata kanuni sana haswa katika suala la kupinga kuonewa. Alipoulizwa jambo gani alilolifanya katika uongozi wake ambalo anajivunia Zaidi alitaja msaada wake katika kupambana na majeshi ya uvamizi ya makaburu Angola kama ndio jambo lililotukuka Zaidi ya yote. Afrika inatakiwa ijue vizuri mchango wa Cuba katika ukombozi wa kusini mwa Afrika. Majeshi ya Cuba Angola yalibadidirisha kabisa mizani ya nguvu za kijeshi kusini mwa Afrika. Jeshi la Afrika Kusini ya makaburu halikuwahi kushindwa hata siku moja kwenye uwanja wa vita mpaka pale lilipopaka pigo kule kusini mwa Angola kwenye mapambano ya Cuito Cuanavale mwaka 1986. Makaburu walikimbizwa mpaka Namibia, Angola kwa mara ya kwanza tangu Uhuru wake wakawa hawana majeshi ya uvamizi kwenye ardhi yao, uhuru wa Namibia ukapatika, na ajenda ya haki za mtu mweusi ndani ya Afrika Kusini zikaanza kusikilizwa ndani ya chama cha wazungu kilichokuwa kinatawala wakati huo. Ndipo vyama vya siasa vya watu weusi kuruhusiwa na wapigania uhuru kama wakina Mandela kuachiwa huru. Cuba ilitoa msaada wa wanajeshi na vifaa vya kivita zikiwemo ndege, vifaru na makombora ya kisasa kabisa ya kutungulia ndege ilikufanikisha adhma ya kumtoa kaburu na kumfunndisha adabu pale Angola. Na Cuba haikulipwa kitu, ilisaidia katika misingi ya kibinadamu. Tunaweza sema mengi sana hapa, lakini naamini historia itakuja kutuambia kama tunaweza kumweka Fidel Castrol kwenye kundi la madikteta au la...!!!
Inapokuja kwenye suala la wale Wa Cuba walikimbilia Miami, USA, hakuna MCuba alielazimishwa kwenda serikali ya Marekani katika kuikomoa Cuba ilitangaza kuwapa haki za ukimbiza haraka sana Wa Cuba wote wanaoikimbia nchi yao. Wananchi wengine wa Cuba wakata kuondoka Castrol akasema anaetaka kwenda na aende na wapo wengi waliokuwa magerezani waliotaka kwenda wakaruhusiwa kwenda kwa HIYARI YAO wala si kwa kulazimishwa. Haya wanayasema wenyewe Wa Cuba waliokimbia Cuba ambao kwa sasa wanaishi Marekani.