Vitu vizuri ambavyo madikteta 05 wamefanya na kuacha historia duniani

Mfalme Mbowe

Kwa kubadili gia angani na kuuza chama kwa mafisadi
 
Reactions: ora
Namkubali Muammar Gaddafi
Allah ampe Jannat Firdaus
Amiin.
Nimekupenda bure Nifah. Kweli Muammar alikua mwanaume na kiongozi wa kweli. Huwa nairudia kuisoma mara kwa mara hotuba yake ya mwisho kabla ya umauti haujamkuta. Kwa kweli huwa natokwa na machozi.
Maneno yako yamenipa uchungu sana, na furaha kwa wakati mmoja.
 

uko sawa kiongozi, inasemekana hata mapinduzi ya znzbr castro anamkono wake kwa kutrain. Maana hata wanapainduzi wengi walionekana wakiwa wanafuga ndevu mfano wa askari wa cuba. Hata baadhi ya nchi za magharibi waliita zanzibr kuwa ni cuba ya africa. Castro na cheguavala pamoja na yote hawakuwa wabinafsi. Pia alikuwa na uwezo mkubwa akikwepa kuuliwa mara nyingi sana na vikosi vya marekani na CIA. Wengine hii kitu hawaiiti UDICTETA ila ni DISPLINED DEMOCRACY. Yuko vzr
 
Idi Amin alifukuza wahindi alipokuwa madarakani leo hii biashara zote kubwa Uganda zimeshikwa na waganda akiwemo Mganda aliyetaka kununua timu ya Leeds ya Uingereza
Kulingana na utafiti wa shirika moja la masoko uingereza, Uganda is the most entrepreneurial country in the world. Yaani asilimia 28% waganda watu wazima wamejiajili kwenye kilimo,biashara na viwanda vidogovidogo idadi ambayo dunia nzima hakuna nchi yenye wajasiliamali watu wasima wenye ration hiyo. Hii inaweza kutushawishi kuwa wazo la idd amin la nationalization miaka ya sabini liliacha mbegu kwa wananchi wake wafikili kujiajiri zaidi kuliko kusubiri kuajiliwa. Kitu kungine ambacho huwa sielewi kwa nini Watanzania Tunakimbilia Uganda kununua vitu kwa bei nafuu wakati wao hawana bandari na sisi tuko na pwani tulitegemea kwao vitu viwe ghali zaidi?
 
Vipi Bokasa
1. atunga shria kuwa wanaume na wanawake wenye umri kati ya 18-55 walipaswa kutoa ushahidi kuwa wanakazi ya kufanya kinyume cha hapo ni kifungo au fine, so kila mtu alijishughulisha.

2:Kuombaomba/ombaomba hii tabia ilipigwa marufuku officially,
3:Miziki na ngoma bend zilipigwa marufuku isipokuwa usiku tu au weekend kuonyesha hatanii alianzisha kikosi maalumu cha maadili"Molarity Brigade" kilichokuwa kinasimamia maadili na ukaguzi wa mabar na dancehalls.
4:Kutoa Mahari na TOHARA KWA WANAWAKE alipiga marufuku
5:ALianzisha Mfumo wa usafiri Wa umma na vivuko katika jiji la bangui kwa ajili ya raia wake.

Alikuwa anapata support kutoka kwa Ghaddaffi pia. Pamoja na yote ni moja ya kiongozi katili kuwahi kutokea africa pia.
Mfano wanafunzi walipogoma kununu sare za shule kutoka kwenye kampuni ambayo ilikuwa inamilikiwa na mke wake, alifanya mauaji ya alaiki yaliyoua zaidi ya wanafunzi 100.
 
Humpendi kuliko mimi mkuu.
Nampenda kuliko unavyoweza kufikiri.
Sitaki kukumbuka siku aliyouawa,nililia mnoooo!
Ilikuwa wiki ya maombolezo kwangu.
Kipindi kile zilitoka CD zake kabla hajauawa,Wallah niliumia mno,mno![emoji24][emoji24][emoji24]

Naikumbuka hiyo hotuba,alitaka kuiunganisha Afrika na kuwa kitu kimoja.
Kama unafikiri wewe hulia peke yako sivyo,nami nimo tena kukuzidi.
Maneno ambayo hunichoma zaidi ni pale anaposema (Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi)
"Mwanangu niliyemlelea mwenyewe leo hii anataka kuniua (Obama)"
Tokea Nisome hotuba ile nilitokea kumchukia sana Obama...
Naomba niishie hapa mkuu,machozi yameanza kunilenga lenga. [emoji29]
 

Weka picha tuone unavolia
 
Mataifa mengi yalipeka watu wao wakasome Cuba,ahsante sana Cuba chini ya Fidel Castro.
Nalog off
 
I believe sometimes Dictatorship Government huwahi kupata maendeleo kwa haraka kuliko democracy government kwa sababu hakuna haja na muda wa kujadili nini kifanyike ili taifa liwe na maendeleo wakati huo kodi za wananchi zikitumika kuwalipa wawakilishi wao wanaojadili masuala ya Kitaifa isipokuwa watu wote huelekeza nguvu zao katika ujenzi wa Taifa lao.
 
Kodi yao ipo chini, Na vitu vyenyewe vinapita ama Mombasa au Dar ila ni nafuu
 
MBONA IDI AMINI HAYUPO HAPA
Huwa nashangaa sana kijana wa kitanzania anashindwa ata kurudisha akili kidogo nyuma uyo ghadaf na amini ndio walioteketeza roho za makamanda wetu kagera and they died for us, leo ww kwa maslah sijui ya nini unawaona bora kuliko watu wa nchi yako kwel nimeamin mtu mweusi anahitaj tena kutawaliwa
 
KWANI UGOMZI MKUU,MBONA UNAUMWA SANA,MIE NIMEULIZA TU KANI NA YEYE SI ALIKUWA DIKTETA ?
 
Ahsante mkuu.... umenena vyema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…