kelly mfilinge Member Joined Aug 14, 2016 Posts 61 Reaction score 38 Aug 18, 2016 #61 Bora hata hawa madikteta walijali watu kuliko hawa watawala wetu ambao hawajali chochote kile zaidi ya kupeleka wanao kusoma nje
Bora hata hawa madikteta walijali watu kuliko hawa watawala wetu ambao hawajali chochote kile zaidi ya kupeleka wanao kusoma nje
ngaboru JF-Expert Member Joined Mar 3, 2016 Posts 2,069 Reaction score 5,411 Sep 18, 2016 #62 Ahsante mkuu.
1000 digits JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 7,201 Reaction score 9,529 Sep 18, 2016 #63 MSEZA MKULU said: disconnected tribes. Click to expand... Wandengereko walioko Zanzibar aliwapeleka nani. Wamakonde, wangoni kule Tanga nani aliwapeleka? Nani alianzisha mfumo uliomfanya hata yeye atoke Musoma na kwenda kufanya kazi Pugu mkoa wa Pwani. Tafakari zaidi!!!!!
MSEZA MKULU said: disconnected tribes. Click to expand... Wandengereko walioko Zanzibar aliwapeleka nani. Wamakonde, wangoni kule Tanga nani aliwapeleka? Nani alianzisha mfumo uliomfanya hata yeye atoke Musoma na kwenda kufanya kazi Pugu mkoa wa Pwani. Tafakari zaidi!!!!!