Vitu vizuri unavyovikumbuka kwa mpenzi wako

Vitu vizuri unavyovikumbuka kwa mpenzi wako

Ikanikumbusha mara nyingi tukitoka huwa ananitreat vizuri mpaka kama kuna majirani lazima wageuke
Kwanza mchangamfu hapendi mtu anaenuna ni ngumu kuwa bored ukiwa nae lazima utacheka,atakufungulia mlango,atakulisha,atakubembeleza(akiwa na muda),atakubebea pochi proudly,kiufupi kila kinacho wezekana ndani ya uwezo wake kitakacho kupa furaha anajitahidi kukifanya.
Nimesikitika siku zote sijawahi kusema asante ni kama niliona ni haki yangu kufanyiwa yote hayo mpaka leo nilipo jitafakari.
Wow this is really sweet.
You really wouldn't want to lose that relationship.
 
Majanga gani my brother?[emoji1787]
Usiseme hukumbuki sema tu hakuna..🤣🤣
Dada kwa ushauri hama ukanda dada nakuomba uhame ukanda itakuwa ulishaga ichukiza mizimu ya ukanda huo..huwezi ona hata upewe dunia utataka na jua..😂
 
Usiseme hukumbuki sema tu hakuna..[emoji1787][emoji1787]
Dada kwa ushauri hama ukanda dada nakuomba uhame ukanda itakuwa ulishaga ichukiza mizimu ya ukanda huo..huwezi ona hata upewe dunia utataka na jua..[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]achana na mimi
 
Anavyonipenda tu mpk nahisi ni kamalaika..🤣
Jina langu huwa analitamka kiutamu na kale kasauti kake akiita kenzyyy Yani Kama pepo unaiona hii hapa! Mengine siri ila chakuongezea sio msumbufu mara leo anune mara sijui alete mkwara huu nooo kabisa Toto ya watu imetulia haina makuu..

Nyie Bata mi napendwa walahii..🤣🤣🤣
Hahahahah usilete ubata sasa, huyo wako Kweri Kweri😹
 
Back
Top Bottom