Vitu vizuri unavyovikumbuka kwa mpenzi wako

Vitu vizuri unavyovikumbuka kwa mpenzi wako

Being in love is the best feeling ever🥰
Kuna ki feeling flani kizuri sana ukipendwa unapo penda,najua wengi tumeshawahi pitia hii hali either kwa mahusiano ya zamani au tilionayo kwa sasa.
Kuna wengine wanaamini hii hali huwa ni mwanzoni tu ila mkizoeana linaisha[emoji3]Kuna wengine huwa mambo hayaishi penzi moto moto lipo pale pale ukitoa vile vipindi vya kupishana hapa na pale hivyo haviepukiki.
Leo natimiza siku ya 12 toka nianze challenge ya kuappreciate mambo mazuri kutoka kwa mpenzi wangu,yaani nimejipa siku 90 ambazo sitoongea chochote kibaya au kulalamika kumuhusu[emoji3].Hii ni baada ya kuwa kero kwa mwenzangu ulalamishi,uwivu na amekuwa concerned sana mpaka imebidi nijichunguze upya hivi vitabia.
Siku ya 12 kwenye diary nikawa na list vitu vyote ambavyo amekuwa akinifanyia na sikuwa naviona.
Labda kuna wakati tunasahau kuona vitu vidogo vidogo kutoka kwa wenza wetu tunavichukulia poa meanwhile huko nje kuna watu wengi wanatamani wapate hata mtu wa kuwafanyia nusu ya hivyo
Ikanikumbusha mara nyingi tukitoka huwa ananitreat vizuri mpaka kama kuna majirani lazima wageuke
Kwanza mchangamfu hapendi mtu anaenuna ni ngumu kuwa bored ukiwa nae lazima utacheka,atakufungulia mlango,atakulisha,atakubembeleza(akiwa na muda),atakubebea pochi proudly,kiufupi kila kinacho wezekana ndani ya uwezo wake kitakacho kupa furaha anajitahidi kukifanya.
Nimesikitika siku zote sijawahi kusema asante ni kama niliona ni haki yangu kufanyiwa yote hayo mpaka leo nilipo jitafakari.

Ni vitu gani vizuri mwenza/mpenzi wako anakufanyia labda hujawahi kumshukuru,tushirikishe labda inawezekana na sisi wengine tutajifunza
Ukipata muda mshukuru pia inajenga upendo zaidi[emoji4]
Bora umejiwahi mapema maana hiko kichefu chefu angekipatia ndimu nje huko hamna rangi ungeacha kuona 😂😂😂!!!

Sometimes inakera sana kuwa na mtu asie na shukurani na mlalamishi.
 
Weka akiba mkuu, hata ile couple ya mzee wa "Ngoja waje wakupe muongozo 😂" ilianzaga kwa mbwembwe kibao mara ma CC: ila imezimika kama kibatali 😂😂😂 ile mibunda bunda haijafua dafu naona!
Kumbe mnachora watu tu..🤣
Lkn kwasasa ukweli ndo huo nipo kwenye utamu utamuni ndio maana hata makeke nimepunguza!.. acheni tu niwaite kinyeramumo..🤣
 
Bora umejiwahi mapema maana hiko kichefu chefu angekipatia ndimu nje huko hamna rangi ungeacha kuona [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Sometimes inakera sana kuwa na mtu asie na shukurani na mlalamishi.

[emoji23][emoji23][emoji23]nimejiwahi
Siku niliogopa akaanza kuniita una gubu kama mary wa garaB wa jua kali
Nikasema mmh nisipo wahi ipo siku ntalia
Kama huko nje yupo ashindwe na alegee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimejiwahi
Siku niliogopa akaanza kuniita una gubu kama mary wa garaB wa jua kali
Nikasema mmh nisipo wahi ipo siku ntalia
Kama huko nje yupo ashindwe na alegee
Haswa hakukosea maana yule mwanamke ni 100℅ true copy ya wanawake wengi wenye asili ya midomo midomo ambao wamebahatika kuwa wake za watu.😂😂😂

Ukiskia nazungumzia makofi kwa mwanamke basi jua yule ndio aina ya KE ambaye lazma atiwe vibao ili apunguze kuchonga ngenga.
 
Tabia za kishamba, huwezi kumdai mpenzio hela namna hio! Kama vile we hujawahi kula zake...Ptuh!

Eh Mungu naomba wanawake wabinafsi waniepukie mbali[emoji81]

Wewe hadaiwi ila anailipia vizuri tu
 
Anavyonipenda tu mpk nahisi ni kamalaika..🤣
Jina langu huwa analitamka kiutamu na kale kasauti kake akiita kenzyyy Yani Kama pepo unaiona hii hapa! Mengine siri ila chakuongezea sio msumbufu mara leo anune mara sijui alete mkwara huu nooo kabisa Toto ya watu imetulia haina makuu..

Nyie Bata mi napendwa walahii..🤣🤣🤣
🤣🤣🤣mkuu mpaka wengine unatuona Bata🦆🦆hakiii🤣🤣🤣 umekamatwa kwenye Kona kweli

Cc :komamanga
 
🤣🤣🤣mkuu mpaka wengine unatuona Bata🦆🦆hakiii🤣🤣🤣 umekamatwa kwenye Kona kweli

Cc :komamanga
🤣🤣 Hii inaitwa man down.
 
Weka akiba mkuu, hata ile couple ya mzee wa "Ngoja waje wakupe muongozo [emoji23]" ilianzaga kwa mbwembwe kibao mara ma CC: ila imezimika kama kibatali [emoji23][emoji23][emoji23] ile mibunda bunda haijafua dafu naona!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣 Hii inaitwa man down.
Tena down stairs kabisaa
Ndo maana huonekani nowdays kumbe unafinyiwa huko


Me wangu nitarejea kusema ...nasubiri wote mlale Kwanza..
 
Back
Top Bottom