Vitu vya kuambatanisha barua ya TCU

Vitu vya kuambatanisha barua ya TCU

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Habar wana JF!

Nnauliza kwa mtu aliyepata chuo mwaka jana lakini hakwenda kuripoti inasemekana ili aweze kuomba mwaka huu lazima aandike barua, je ni kweli?

Na barua unaambatanisha na nini?
 
kuondolewaje kwenye system.watu wamedisco na wameaply wamepata vyuo
 
Back
Top Bottom