I Ilambo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 475 Reaction score 89 Jun 10, 2015 #1 Habar wana JF! Nnauliza kwa mtu aliyepata chuo mwaka jana lakini hakwenda kuripoti inasemekana ili aweze kuomba mwaka huu lazima aandike barua, je ni kweli? Na barua unaambatanisha na nini?
Habar wana JF! Nnauliza kwa mtu aliyepata chuo mwaka jana lakini hakwenda kuripoti inasemekana ili aweze kuomba mwaka huu lazima aandike barua, je ni kweli? Na barua unaambatanisha na nini?
hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 454 Jun 11, 2015 #2 weye hakuna cha barua hapo
M mazaga one JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 2,514 Reaction score 4,042 Jun 11, 2015 #3 hitler2006 said: weye hakuna cha barua hapo Click to expand... Hakuna cha barua kivipi tena wakati watu washaandika na wanaendelea kuandika kupeleka TCU kwa ajili ya kuondolewa kwenye system
hitler2006 said: weye hakuna cha barua hapo Click to expand... Hakuna cha barua kivipi tena wakati watu washaandika na wanaendelea kuandika kupeleka TCU kwa ajili ya kuondolewa kwenye system
hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 454 Jun 11, 2015 #4 kuondolewaje kwenye system.watu wamedisco na wameaply wamepata vyuo