Vitu vya kufanya ukiuza mechi

Vitu vya kufanya ukiuza mechi

Papaa007

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,103
Reaction score
1,737
Kwanza tambua wewe ni mtu mzima na ushavuka 18yrs kama bado basi umeenda tofauti na ulivofundishwa biology secondary na bado hujafika 18

Kubaliana na litakalotokea huna wa kumlaumu mambo ya gono, Uti, kaswende na mengineyo.

Jua ya kwamba mimba inaeza kutokea na sio kuanza kulaumu vidonge na kukimbia.

Tayar umeshatengeneza soul bound na mwenza wako sio uanze kulalamika huyu mbona anapiga piga simu

Vizinga vinakuja bwana dingi kama wewe ni Mwanaume jiandae kama wewe ni mwanamke una mtu mpya wa kumpiga viznga ila kuna wengine hawapig vizinga ila wanataka rungu non-stop

Ku maintain multiple relation ni swala lingne mabaharia tunaita kula kwa jiran na kula kwako usionekane umeshiba.

ITaendelea...
 
Back
Top Bottom