Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

Pamoja sna ndugu, npo Arusha,nauliza connection ya used electrical parts,vitu kama soketi za taa,soketi za alternator,dc alternator rectifier,wiper machine,pre heating timer,power window machine,washer tank motor nk
 
 
Tuendelee kuujazia huu uzi nyama nyama za kutosha.
1Oil,pump,Water pump,Chain kits-Kwa mfano oil pump moja inafunga injini zote hizi za 3l,2l5l. Unaongeza na oil pump za 3s/4s 1az/2az. Hapa kikubwa ni kuzielewa model za injini na mahitaji yake yote.
2.Acesorie na spea zingine za kujazia duka kama Alardite,Gasket maker changanya zote kubwa na ndogo,Rhizon seal,Shelac kwa ajili ya gasket. Battery terminals hizi chukua hizo za kihindi nadhani huwa cheap kidogo. Viaksi mwanga Zile za njamo,Nyekundu na nyeupe.Fane belts ( imagine kuna fane belt inauzwa hadi elfu 80[emoji23])
3Cylinder head gaskets,Overhaula gasket na top cover rubber,oil.seal. Hapa ni mihimu sana maana magonjwa ya gari kuchemsha na kuvuja oil ni magonjwa ya kawaida na kila siku na hayana hodi. Kikubwa ufahami spea hizo ni tofauti kutokana na injini za gari.
4. Bearings zote kuanzia Centre bearing,Cross Bearing,Tripod Bearing,Bearinh za hubs,Axle ( Miguu ya mbele na nyuma)Pilot bearing,Release bearings.Mafundi wanaweza kukuelezea kwa ukaribu na zipi huwa zinakufa mapema.
5.Sunspension system: Hapa kuna shockup,Spring Coil,Bushes zote, na vitu kibao. Shockup changanya kuna za mafuta na gas japo wengi hupenda za gas. Wekaa Og na zile za kichina.Mara nyingi hizi huwa zinaingiliana. kwa mfano spring bush moja unaweza kufunga kwenue Noah,townhace,Hiace, Na shockup ni vile vile.

Mambo ni mengi sana jamani,,Kwa anyefahamu chimbo la hizo Mambo kwa bei ya jumla na bei nafuuu anitajie hapa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…