Vitu vya ndani vinauzwa Maeneo Ya nyegezi mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
stand ya tv elfu 35 tu
jiko la gass lina gass full elfu 45
kabati languo laki na 40 ni mchina
tv aina ya singsung inch 21 almost new laki na 30
kwa maelezo mapatano plz wasiliana na hii namba ili ukavione 0713935395
 
Hela ya BOOM hiyo, hiro rimuziki ndio urikuwa unawasumbua wanafunzi wenzako hapo saut kwa kufungulia juu, hadi wanashindwa kusoma, wakati wenzako warikuwa wanabana na kununua viwanja ama kuanzisha vibiashala vidogo wewe uriwekeza VILLA chumbani. Haya sasa ukiuza hata robo ya bei ulionunuria haifiki
 
Uliposema vitu vya ndani nikahisi ni maini, filigisi na utumbo dah
 
Mkuuu umeandika kwa hisia za Kikury haswaaas
 
kwa bahati mbaya mimi sio mwanafunzi kiongoz mimi ni raia wa kawaida sio kila anaeishi malimbe ni denti boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…