Vitu vya ndani vinauzwa Maeneo Ya nyegezi mwanza

Vitu vya ndani vinauzwa Maeneo Ya nyegezi mwanza

Uliposema vitu vya ndani nikahisi ni maini, filigisi na utumbo dah
usicremishe jifunze na vitu vipya usibaki nyuma kiasi hicho nyie ndo mnatuchelewesha kuendelea kama marekan maana hamtaki kufikiria kwa upana zaidi
 
Niletee nipo Sweya
nimeshauza vyote kiongoz yamebakia makapeti tu
manyoya 65 la kawaida na maua 55 namba 0763772636
IMG_20180924_164625_904.jpg
IMG_20180924_165056_052.jpg
 
Toa ndugu toa ndugu ulicho nacho wewe Bwana anakuona mpaka moyoni mwako, Mkuu uza pesa itakayopatikana toa msaada utabarikiwa
 
Back
Top Bottom