Kitanda kina vibe mkuu huoni mpaka kina Ottoman bench?
Huyu jamaa kanifikirisha sana kwamba mtu anaweza kuwa na vitu visivyo vya gharama sana Tanzania halafu akavipanga kama yupo nyumba ya The Hamptons New York πππ
Kwani nawe usingenyamaza? Hili ni jukwaa huru. Kama umeleta hoja watu wapo huru. Unatumia IDs zako zote kujisupport. Una kitanda kama yebo. Hapo hata mimba huwezi pata. Kinatisha
Nakumbuka mm wakati naanza maisha nilitumia kama 1.5m hv kujaza chumba kizima tena vitu vyote ni vipya + kodi ya miezi sita, sasa ww unataka 1.1m kwenye vitu vya ndani tuu tena used π Hapana aisee