Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Feni la chini mtungi mdgo wa gas empty(orxy)na dish la azam vyote kwa pamoja nahitaji 120,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
feni la chini 30kUnaona 120,000 ndogo?
Feni la chini 30,000
Mtungi wa gesi 20,000
Dish la azam 15,000
Jumla 65,000
Mtungi kula 15Dish ni pamoja na Decoder yake? Yaani full? Kama hivyo leta nikupe 50K
Watu wapo serious na pesa aisee.Unaona 120,000 ndogo?
Feni la chini 30,000
Mtungi wa gesi 20,000
Dish la azam 15,000
Jumla 65,000
Bado ipo?feni la chini 30k
mtungi 20k
dishla Azam 70