Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

No 1 sio kweli bunduki huwa zinaisha risasi.

Hiyo no 6 wanaipenda mno ila ni kitu kisichowezekana, unawezaje kuhatarisha maisha kirahisi hivyo??

Lakini kwavile ni movie its okay
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hahahaha! Mkuu umesema ukweli tupu aisee! Halafu hiyo No 6 inapatikana sana kwenye muvi za Kikolea na Kichina. Eti mtu anakuwekea panga shingoni taratiiibu halafu wewe unalitoa taratibu na kisha kuanza kupigana mapanga ya uwongo......unasikia tu mapanga yanalia nshaaa! nshaaaaa! lakini hakuna damu wala mtu anayeumia. Upuuzi mtupu.

Na hizi muvi za uwongo uwongo zinapendwa sana na wanawake na watoto labda kwa kuwa akili zao zinafananaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sometimes bongo movie wakiigiza muvi ya kutisha unajikuta inakuchekesha tuu . πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mtu anaitwa ajey devgan sehem nyingi za hatari huwa anacheza kweli alishawah kosa mke walihofia anaweza atapoteza maisha mda wowote kutokana na movie
 
Steling akipata ajali hata iwe mbaya vipi hafii..ila ajarib adui [emoji2][emoji2]
 
Vipi muvi za siku hizi wanapoweka karibu kila familia ina kijana ambae ni gay, hapo wana promote nini?
Kwa mila na tamaduni zao kua homosexual sio tatzo.Inabidi isisahau kazi ya fasihi pia ni kutangaz utamaduni wa hadhira husika
 
Hii pia nimeiona sana. Yaani imefika mahali nikiona mwafrika kwenye muvi najua tu huyu atakufa mda si mrefu [emoji3]
Sasa kama hyo muafrika ni supporting actor unataka afike mwsho ili iweje.Mbona kuna movie nyingi hao watu weusi wanafika mpka mwisho
 
Juzi ndio nimegundua kumbe hata yale mabomu ya kutegwa ardhini hua wanatudanganya. Kwenye movie lile bomu ukilikanyaga lina click ukitoa mguu ndio linalipuka. Kiuhalisia bomu la kutegwa ardhini ukilikanyaga tu linalipuka hapo hapo..!
 
Kuna popoma moja dogo delicious
Wa kuitwa Da'Vinci atakuja kukupinga kwa nguvu zote kwani anaamini kuna sayari watu wanaishi sijui ndo wakanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…