Engager
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 1,522
- 3,255
Nauli, sadaka, rushwa, Maji, msaada, rambirambi, 10%1. Pesa : hela, mavumba, mshiko, sabuni ya roho, mkwanja, maokoto, kibunda, vyuma ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauli, sadaka, rushwa, Maji, msaada, rambirambi, 10%1. Pesa : hela, mavumba, mshiko, sabuni ya roho, mkwanja, maokoto, kibunda, vyuma ....
Hili gazeti linaashiria wazi kabisa kua una stress sana ya maisha,pole sana aisee.KWann ukimbilie kwanza kwenye MATATIZO, are you troubled ? Na kama una matatizo do you think kila mtu ana matatizo kama wewe?
Anyway, na kama ninayo, do you think hapa ni mahala mimi naweza kuja kutafuta suluhisho la matatizo yangu?
Mind you, sipo hapa jukwaani kutafuta suluhisho la matatizo. If you do , then thats your problem
Ahsante. Nikupe hongera na wewe kwa kuwekeza muda ku speculate how people feels.Hili gazeti linaashiria wazi kabisa kua una stress sana ya maisha,pole sana aisee.
Hebu soma tena comment yako huenda ukaielewa,Ahsante. Inatusaidiaje hii sasa mkuu?
Mbona nahis labda kama wewe ndio uko negative chief?.Hebu soma tena comment yako huenda ukaielewa,
Umeuliza "Inatusaidiaje hii sasa mkuu?"
Swali langu kwako,ulitaka ikusaidie nini? Wakubwa tumekuelewa kua umeiponda hii thd,ndio maana nikakwambia kaanzishe thd yako ambayo utaona itakusaidia,hii thd ni kurefresh tu,una akili nzito sana ya uelewa ndio maana unashusha waraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]genye, uraru, upwiru, ugwadu, usongo, ugumu..
ondoa mwanamke weka Depal = pisi kali, mtoto mashalaMwanamke… pisi, demu, girlfriend, mke, mchepuko, mams, manzi, mama, mamkubwa, shangazi, dada, binti, bibi, bi mkubwa..
wewe dada nakutamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]